Dida: Ni uvumilivu unaonisaidia Yanga
Deogratius Bonventure Munishi ‘Dida’ akikaa golini, mashabiki wa Yanga wanakuwa hawana presha. Huyu ni kipa namba moja wa Yanga na Taifa Stars.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga
10 years ago
MichuziTAWI LA FACEBOOK YANGA LAWAJAZA ZAWADI NIYONZIMA, NGASSA NA DIDA
Wachezaji wa Yanga wakiwa wameshika zawadi walizopewa na tawi la Facebook lenye makazi yake Buguruni jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa kama shukurani kwa kushika nafasi ya pili kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam
Wachezaji wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tawi la Facebook
Mwenyekiti wa Tawi la Facebok Josephat Sinzobakwilaakiongea na wachezaji na benchi la ufundi la Yanga
Kocha wa Yanga, Pluijn akikabidhiwa zawadi yake na mlezi...
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Wanigeria wasifiwa kwa uvumilivu
11 years ago
Habarileo19 Jan
Kanisa lapongeza uvumilivu Zanzibar
KANISA Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Imani Endelevu Katoliki Jimbo la Zanzibar huku likisifu uvumilivu wa kiimani uliokuwapo karne kadhaa na kulaani watu wachache wanaotumiwa kuharibu amani visiwani. Viongozi wa kanisa hilo wamesema matukio ya mwishoni mwa mwaka juzi na mapema mwaka jana ya baadhi ya viongozi wa Kanisa kuuawa kwa kupigwa risasi, kujeruhiwa na wengine akiwamo Shehe kumwagiwa tindikali, yalikusudiwa kuvuruga udugu uliodumu kwa amani karne na karne.
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
‘Wajumbe hawana uvumilivu wa kisiasa’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Bernadeta Kiliani, amesema kitendo kinachoendelea ndani ya bunge hilo kwa baadhi ya wajumbe kuzomeana na kutosikilizana ni ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa. Alisema ni...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Zanzibar wapongezwa uvumilivu wa kisiasa
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Zanzibar kwa subira na uvumilivu wa kiwango cha juu waliouonesha wakati wakisubiri kujua hatima ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar ambao matokeo yake ya Oktoba 25, mwaka huu yalifutwa.
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Uvumilivu wa kisiasa ndiyo tiba ya migogoro