Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar wapongezwa uvumilivu wa kisiasa

 CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Zanzibar kwa subira na uvumilivu wa kiwango cha juu waliouonesha wakati wakisubiri kujua hatima ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar ambao matokeo yake ya Oktoba 25, mwaka huu yalifutwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wajumbe hawana uvumilivu wa kisiasa’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Bernadeta Kiliani, amesema kitendo kinachoendelea ndani ya bunge hilo kwa baadhi ya wajumbe kuzomeana na kutosikilizana ni ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa. Alisema ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvumilivu wa kisiasa ndiyo tiba ya migogoro

Zanzibar huru ilipatikana kupitia mapinduzi matukufu ya Januari 12 mwaka 1964 yaliyoongozwa na Afro Shiraz Party (ASP). Sababu kuu ya kufanya mapinduzi ilikuwa kuweka hali za wananchi sawa, heshima ya mwanadamu kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake.

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa lapongeza uvumilivu Zanzibar

KANISA Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Imani Endelevu Katoliki Jimbo la Zanzibar huku likisifu uvumilivu wa kiimani uliokuwapo karne kadhaa na kulaani watu wachache wanaotumiwa kuharibu amani visiwani. Viongozi wa kanisa hilo wamesema matukio ya mwishoni mwa mwaka juzi na mapema mwaka jana ya baadhi ya viongozi wa Kanisa kuuawa kwa kupigwa risasi, kujeruhiwa na wengine akiwamo Shehe kumwagiwa tindikali, yalikusudiwa kuvuruga udugu uliodumu kwa amani karne na karne.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanadiaspora wapongezwa kwa kusaidia gurudumu la elimu Zanzibar

Afisa Wa Elimu Zanzibar Bw Suleiman 
Yahya Ame kulia, akionesha makala ya kitabu. Na Abou Shatry Washington DC   Jumuiya ya Wazanzibari waishio Nchini Marekani (ZADIA), imepongezwa kwa kusaidia gurudumu la maendeleo ya Elimu visiwani Zanzibar.   Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Zanzibar Bw. Suleiman Yahya Ame wakati wa kupokea mchango wa vitabu vya Ufundi na Mafunzo ya Amali uliotolewa na ZADIA kwa ajili ya shule za ufundi visiwani humo.   Akizungumza kama mgeni rasmi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Salmin na deko la kisiasa Zanzibar

INASHANGAZA  kwamba mpaka sasa bado kuna watu wanaoendekeza deko la kisiasa katika bara la Afrika wakati huu wa karne ya kistaarabu! Deko linalotokana na mtu kuzitegemea nguvu za dola alizozishikilia na...

 

9 years ago

Mwananchi

Zanzibar: Volkano ya kisiasa iliyolala

Kila unapofika mwaka wa uchaguzi, matumbo ya Wazanzibari hupata joto kali la kisiasa na kila mmoja huingia katika hamkani, ushabiki na shemere za uchaguzi.

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishin wa Habari katika ofisi za CUF Mtendeni kuhusiana na maendeleo ya “mkwamo” wa kisiasa Zanzibar. Picha na Salmin Said, OMKR
Na Hassan Hamad (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema jitihada za kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliotokana na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Jecha Salim Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatima ya mkwamo wa kisiasa

Juma lililopita makala haya yaliishia ‘Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume kuuawa. Mwalimu Nyerere alimweka kizuizini mmoja wa watu waliotuhumiwa kupanga Mapinduzi, Abdulrahman Babu’. Endelea.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatma ya mkwamo wa kisiasa

Zanzibar iliyogubikwa na mtafaruku wa kisiasa kufuatia kufutwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu inaadhimisha miaka 52 tangu kufanyika mapinduzi, Januari 12, 1964.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani