Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF NA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishin wa Habari katika ofisi za CUF Mtendeni kuhusiana na maendeleo ya “mkwamo” wa kisiasa Zanzibar. Picha na Salmin Said, OMKR
Na Hassan Hamad (OMKR)Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema jitihada za kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliotokana na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Bw. Jecha Salim Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatima ya mkwamo wa kisiasa

Juma lililopita makala haya yaliishia ‘Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume kuuawa. Mwalimu Nyerere alimweka kizuizini mmoja wa watu waliotuhumiwa kupanga Mapinduzi, Abdulrahman Babu’. Endelea.

 

9 years ago

Mwananchi

Miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar, hatma ya mkwamo wa kisiasa

Zanzibar iliyogubikwa na mtafaruku wa kisiasa kufuatia kufutwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu inaadhimisha miaka 52 tangu kufanyika mapinduzi, Januari 12, 1964.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM: Maalim Seif amepauka kisiasa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar, umesema Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amepauka kisiasa. UVCCM imemtaka kiongozi huyo aachane na ageukie kazi za uvuvi...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar Bw. Said Ndubugani, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hatua zinazochukuliwa na mamlaka hiyo katika kuimarisha viwanja vya ndege, alipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maeneo mbali mbali ya uwanja wa ndege wa Zanzibar katika ziara yake ya kutembelea eneo hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....

 

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif acharuka Zanzibar

maalim seifNA MWANDISHI WETU, PEMBA

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.

Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar

Na Esther Mbussi, Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25  mwaka huu.

Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.

Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta amwangukia Maalim Seif Zanzibar

WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuahirishwa, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba yuko visiwani Zanzibar kwa lengo la kuteta na viongozi wakuu visiwani humo. Ziara...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na makamu wa rais wa Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF, Maalim Seif

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani