Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salmin na deko la kisiasa Zanzibar

INASHANGAZA  kwamba mpaka sasa bado kuna watu wanaoendekeza deko la kisiasa katika bara la Afrika wakati huu wa karne ya kistaarabu! Deko linalotokana na mtu kuzitegemea nguvu za dola alizozishikilia na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.Mwili wa Marehemu Salmin Awadh ukiingizwa katika Ukumbi wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wauwaga mwili wa marehemu Salmin Awadh Salmin Baraza la Wawakilishi

DSC_0157

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

DSC_0176

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.

DSC_0201

Mwili wa Marehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe ahani msiba wa marehemu Salmin Awadh Salmin mjini Unguja

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Mwaka Mohamed ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh Salmin aliyefariki mapema Februari mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwake, Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akitoa mkono kwa familia ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH PINDA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, SALMIN AMOUR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga

 

9 years ago

Habarileo

Zanzibar wapongezwa uvumilivu wa kisiasa

 CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Zanzibar kwa subira na uvumilivu wa kiwango cha juu waliouonesha wakati wakisubiri kujua hatima ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar ambao matokeo yake ya Oktoba 25, mwaka huu yalifutwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Zanzibar: Volkano ya kisiasa iliyolala

Kila unapofika mwaka wa uchaguzi, matumbo ya Wazanzibari hupata joto kali la kisiasa na kila mmoja huingia katika hamkani, ushabiki na shemere za uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani