Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Dec
Kerr ataka mashabiki wasikate tamaa
KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa na matokeo ya sare na kwamba timu yake itakaa sawa katika mechi zijazo. Simba juzi ilipata sare ya tatu baada ya ile dhidi ya Azam na dhidi ya Toto African ya Mwanza kwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mwadui ya Shinyanga.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Kerr ataka kuvunja mwiko Mbeya City
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Kessy amshitua Kerr Simba
9 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Kerr: Hakuna Staa Simba
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.