Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kessy amshitua Kerr Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameshtushwa na uamuzi wa beki wake Hassan Ramadhani Kessy kugoma kusaini mkataba mpya na timu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kerr ang’aka Kessy kutakiwa Yanga

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr ameutaka uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unamwongezea mkataba beki wake wa kulia Hassan Kessy kutokana na mchango mkubwa aliokuwa nao.

 

10 years ago

GPL

Simba yapigwa, yamnasa Kessy

Beki wa Mtibwa, Hamis Kessy. Na Nicodemus Jonas
SIMBA imejikuta ikiwa na mwendo mbaya kuelekea kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe 2 dhidi ya Yanga Jumamosi ijayo, kwani jana Jumapili ilipata kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa Mtibwa Sugar, kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar. Simba imepata kipigo hicho katika mechi hiyo ya kirafiki lakini baada ya mechi hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya mashabiki, Mwenyekiti wa Kamati ya...

 

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr ataka uvumilivu Simba

kerr kazini simba 34NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.

Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12,  mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr: Hakuna Staa Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametamba kuwa hakuna mchezaji staa ndani ya kikosi chake na hatosita kumweka benchi au kumtimua kabisa mchezaji yeyote ambaye hatofuata kile alichoelekezwa na benchi la ufundi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr amrithi Goran Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva alitumia dakika 17 kutangaza mabadiliko ya benchi la ufundi la timu hiyo litakalokuwa chini ya kocha Muingereza Dylan Kerr (pichani).

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr afichua siri ya Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametaja sababu kadhaa zinazoifanya timu yake ishindwe kupata matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu.

 

10 years ago

Habarileo

Kerr ajipa matumaini Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji Simba wamtibua Kerr

KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani