Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yapigwa, yamnasa Kessy

Beki wa Mtibwa, Hamis Kessy. Na Nicodemus Jonas
SIMBA imejikuta ikiwa na mwendo mbaya kuelekea kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe 2 dhidi ya Yanga Jumamosi ijayo, kwani jana Jumapili ilipata kipigo cha mabao 4-2 kutoka kwa Mtibwa Sugar, kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar. Simba imepata kipigo hicho katika mechi hiyo ya kirafiki lakini baada ya mechi hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa ya mashabiki, Mwenyekiti wa Kamati ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Kessy amshitua Kerr Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameshtushwa na uamuzi wa beki wake Hassan Ramadhani Kessy kugoma kusaini mkataba mpya na timu hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAENDELEZA UTEJA KWA SIMBA,YAPIGWA KIKOJA LEO


Umati wa Washabiki wa Timu ya Simba ukiwa umefurika uwanja wa Taifa jijin Dar es salaam kuipa sapoti timu yao ambayo haikuwaangusha leo,baada ya kuwatandika bao 1 - 0 watani zao wa jadi Yanga,lililotiwa kimiani  kwa umaridadi mkubwa na Mshambuliaji,Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 52 ya mchezo. Beki wa Timu ya Simba,Kessy Ramadhan akiwania mpira na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Danny Mrwanda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/- KWA KUTOVAA JEZI ZENYE NEMBO YA MDHAMINI

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga klabu ya Simba faini ya sh. milioni tatu kutokana na timu yake kuvaa jezi ambazo hazikuwa na nembo ya mdhamini wa Ligi Kuu, kampuni ya Vodacom wakati wa mechi yao dhidi ya Kagera Sugar.
Mechi hiyo namba 50 ya Ligi Kuu ya Vodacom ilichezwa Desemba 26 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 13(7) ya Ligi Kuu inayotaka klabu kuheshimu masharti ya udhamini wa Ligi Kuu kwenye mechi zake.
Nayo Polisi...

 

11 years ago

GPL

OFM YAMNASA!

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili. Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamnasa Mateo

Wakati Simba wakiwa na kigugumizi juu ya kumsajili mshambuliaji wa KMKM, Mateo Simon watani zao Yanga wameingilia kati na kumpa mchezaji huyo mkataba wa miaka miwili.

 

11 years ago

GPL

LIVERPOOL YAMNASA EMRE CAN

KLABU ya Liverpool imemsajili kiungo wa Bayer Leverkusen, Emre Can (20) kwa ada ya pauni milioni 9.75. Mchezaji huyo anayechezea timu ya Taifa ya U-21 ya Ujerumani ni  wa pili kusajiliwa na klabu hiyo kwa wiki hii baada ya Rickie Lambert aliyesajiliwa Jumatatu kwa pauni milioni 4 akitokea Southampton.

 

11 years ago

Mwananchi

Takukuru yamnasa mhazini manispaa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inamshikilia Mwekahazina wa Manispaa ya Musoma kwa tuhuma za kudai rushwa ya ngono kutoka kwa msichana anayefanya mafunzo kwa vitendo idara ya fedha ya halmashauri hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani