YANGA YAENDELEZA UTEJA KWA SIMBA,YAPIGWA KIKOJA LEO
Umati wa Washabiki wa Timu ya Simba ukiwa umefurika uwanja wa Taifa jijin Dar es salaam kuipa sapoti timu yao ambayo haikuwaangusha leo,baada ya kuwatandika bao 1 - 0 watani zao wa jadi Yanga,lililotiwa kimiani kwa umaridadi mkubwa na Mshambuliaji,Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 52 ya mchezo. Beki wa Timu ya Simba,Kessy Ramadhan akiwania mpira na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Danny Mrwanda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboYANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga
10 years ago
GPLYANGA SC YAPIGWA NA KAGERA SUGAR KAITABA LEO
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
9 years ago
Habarileo01 Oct
Yanga yamaliza uteja
YANGA imezidi kujikita kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Pluijm achoka na uteja Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema kama ataendelea kukinoa kikosi hicho, anaamini atafuta uteja wa kufungwa na watani wao wa jadi, Simba, ambao mara yao ya mwisho kuwafunga katika ligi ilikuwa msimu wa 2012/ 2013.
Yanga, ikiwa inanolewa na kocha Mholanzi, Ernest Brandts, iliibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba Mei 19, 2013, huku Wanajangwani hao wakiweza kuibuka mabingwa wa msimu huo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, baada ya kufungwa bao...
10 years ago
MichuziSIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/- KWA KUTOVAA JEZI ZENYE NEMBO YA MDHAMINI
Mechi hiyo namba 50 ya Ligi Kuu ya Vodacom ilichezwa Desemba 26 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 13(7) ya Ligi Kuu inayotaka klabu kuheshimu masharti ya udhamini wa Ligi Kuu kwenye mechi zake.
Nayo Polisi...
9 years ago
Habarileo17 Aug
Yanga yaendeleza makali Mbeya
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga wameiadhibu Mbeya City kwa mabao 3-2.