Yanga yaendeleza makali Mbeya
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga wameiadhibu Mbeya City kwa mabao 3-2.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo16 Aug
YANGA YAENDELEZA REKODI YA KUWACHAPA MBEYA CITY
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/11863434_732791986867181_7612666654763943644_n1.jpg)
Miamba ya kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans imeendelea kuinyanyasa Mbeya City FC baada ya jioni ya leo kuichapa 3-2 katika mechi ya kirafiki iliyochezwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.Magoli ya Yanga yamefungwa na Mbrazil, Andrey Coutinho, Mrundi, Amissi Tambwe na Mzimbabwe, Donald Ngoma, wakati magoli ya Mbeya City yamefungwa na Bakari Mwinjuma na Meshack Samuel.Hiki ni kipigo cha tatu cha aina hiyo kwani msimu uliopita katika mechi mbili za ligi kuu, Yanga ilishinda 3-1...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Israel yaendeleza mashambulizi makali
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Simba yaendeleza ubabe kwa Yanga
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Yanga yaendeleza 'siasa' mashindano ya Kombe la Kagame
9 years ago
Vijimambo17 Sep
YANGA NOMA, YAENDELEZA VIPIGO KWENYE UWANJA WA TAIFA
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Mbuyu-Twite.jpg)
Mchezaji wa Yanga Muyu Twite akishangilia goli lake mara baada ya kuifungia Yanga goli la kwanza kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga imeendeleza wimbi la ushindi katika kuhakikisha inalitetea vyema taji lake baada ya leo kutoa kipigo kingine cha goli 3-0 mbele ya Tanzania Prisons ‘wajelajela’ kutoka jijini Mbeya kwenye mtanange uliomalizika jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa.
Yanga walianza kupata goli la kwanza kipindi cha kwanza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4iGaxqd06EQ/VPx2jsnrWbI/AAAAAAAHIsg/3Osl20m5li4/s72-c/MMGL0506.jpg)
YANGA YAENDELEZA UTEJA KWA SIMBA,YAPIGWA KIKOJA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-4iGaxqd06EQ/VPx2jsnrWbI/AAAAAAAHIsg/3Osl20m5li4/s1600/MMGL0506.jpg)
Umati wa Washabiki wa Timu ya Simba ukiwa umefurika uwanja wa Taifa jijin Dar es salaam kuipa sapoti timu yao ambayo haikuwaangusha leo,baada ya kuwatandika bao 1 - 0 watani zao wa jadi Yanga,lililotiwa kimiani kwa umaridadi mkubwa na Mshambuliaji,Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 52 ya mchezo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8caZsyog850/VPx2KFugA2I/AAAAAAAHIp0/pUZzaNTrEso/s1600/MMGL0169.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Mbeya City yatamba kuendeleza makali
KLABU ya Mbeya City ya jijini Mbeya, imetamba kuwa iko katika maandalizi mazuri kwa changamoto zinazoikabili, ili iyavuke mafanikio iliyopata katika msimu wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom...
9 years ago
Habarileo15 Aug
Azam yaitafutia makali Yanga
MABINGWA wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, Azam leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar kuchuana na Mafunzo katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Yanga kusaka makali Barcelona
KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imepanga kuipeleka timu nchini Hispania kujifua kwa raundi ya pili ya Ligi Kuu itakayoanza Januari 22 na Ligi ya Mabingwa Afrika...