Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yaitafutia makali Yanga

MABINGWA wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, Azam leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar kuchuana na Mafunzo katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam FC zasaka makali ufukweni

Simba na Azam zimegongana ufukweni katika mazoezi yao ya kuweka sawa miili yao kabla ya mashindano mbalimbali yanayozikabili ikiwamo Kombe la Kagame na Ligi Kuu.

 

10 years ago

Habarileo

Azam kuongeza makali Zanzibar

MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC itaondoka Jumapili kwenda kisiwani Zanzibar kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotazamia kuanza Septemba 12.

 

9 years ago

Habarileo

Azam wafuata makali ya Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yaendeleza makali Mbeya

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga wameiadhibu Mbeya City kwa mabao 3-2.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga kusaka makali Barcelona

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imepanga kuipeleka timu nchini Hispania kujifua kwa raundi ya pili ya Ligi Kuu itakayoanza Januari 22 na Ligi ya Mabingwa Afrika...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga SC kusaka makali Ulaya

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wanajiandaa kwenda Ureno ambako wataweka kambi ya maandalizi ya mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame), Ligi Kuu Tanzania Bara na ile ya Mabingwa Afrika.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga kunoa makali Kombe la Mapinduzi

Kikosi-Yanga NA ZAINAB IDDY,  DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga tayari imewasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi itakayoanza kesho huku wakitamba kutwaa ubingwa na kusaka makali kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika mashindano ya Mapinduzi, Yanga imepangwa kundi B ikiwa na Azam, Mtibwa Sugar na Mafunzo ya Zanzibar ambapo inatarajia kufungua dimba kesho kwa kuvaana na Mafunzo.

Kikosi hicho kinachonolewa na kocha Hans Vans Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wanoa makali kuwanyoa Wacomoro

KOCHA msaidizi wa  mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara na wawakilishi katika michuano ya kimataifa, Yanga, Charles Mkwasa, amesema kwa sasa anakomaa na safu ya ushambuliaji kabla ya kushuka dimbani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani