Yanga, Simba, Azam FC zasaka makali ufukweni
Simba na Azam zimegongana ufukweni katika mazoezi yao ya kuweka sawa miili yao kabla ya mashindano mbalimbali yanayozikabili ikiwamo Kombe la Kagame na Ligi Kuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi
9 years ago
Habarileo26 Dec
Simba, Yanga zasaka zawadi ya Krismasi
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali kusaka pointi tatu muhimu na kutoa ‘zawadi’ ya Krismasi kwa mashabiki wake. Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ambao ni mabingwa watetezi wataikaribisha Mbeya City, mchezo ambao unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wakitaka kujua nini kitavunwa leo.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Azam wafuata makali ya Simba
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo15 Aug
Azam yaitafutia makali Yanga
MABINGWA wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, Azam leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar kuchuana na Mafunzo katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Yanga,Simba,Azam zapeta
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Yanga, Simba, Azam mawindoni
NA WAANDISHI WETU
VIGOGO wa soka nchini timu za Simba, Yanga na Azam, leo zinatarajiwa kushuka dimbani katika viwanja tofauti kuchuana vikali katika mechi za mwendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), iliyoanza kutimua vumbi Jumamosi iliyopita.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga, wapo kileleni kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa huku wapinzani wao, Simba na Azam wakifuatia jambo linalofanya ushindani wa mechi za leo kuwa mkubwa kutokana na timu hizo kuwa kwenye vita ya...
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Simba, Azam ni kikwazo Yanga
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Yanga, Azam, Simba usipime