Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi

Azam, Coastal Union na Yanga zinashindana kusaka rekodi za kipekee katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba, Azam FC zasaka makali ufukweni

Simba na Azam zimegongana ufukweni katika mazoezi yao ya kuweka sawa miili yao kabla ya mashindano mbalimbali yanayozikabili ikiwamo Kombe la Kagame na Ligi Kuu.

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga zasaka zawadi ya Krismasi

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali kusaka pointi tatu muhimu na kutoa ‘zawadi’ ya Krismasi kwa mashabiki wake. Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ambao ni mabingwa watetezi wataikaribisha Mbeya City, mchezo ambao unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wakitaka kujua nini kitavunwa leo.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SC YA TAIFA SIYO YA TANGA COASTAL WAKAA NYUMBANI NA KUIPISHA YANGA IFANYE YAKE

Na Bertha Lumala,TangaKikosi cha mabingwa mara 24 waTanzania Bara, Yanga SC kimefanya kweli jijini hapa baada ya kuichapa Coastal Union bao 1-0 katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ushindi huo umeifanya Yanga SCiwang’oekileleni Azam FC ikifikisha pointi 22,moja nyuma ya wanalambalamba ambao hata hivyo, wana mechi moja mkokoni.Katika mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 10 iliyopaswa kuchezwa jijini hapa Januari 10 lakini ikapigwa kalenda na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA HII NI TAMU ZAIDI YA MCHARO COASTAL WAGEUZWA CHIPS FUNGA WAPOKEA 8 SAWA NA TAREHE YA MCHEZO WAO NA YANGA.


Yanga hii ni ya kimataifa na kitaifa ndiyo habari ya mjini Coastal Union hawatasahau milele kipigo cha leo tarehe 8 mwezi wa 4 wapigwa bao sawa na tarehe ya siku ya mchezo wao na Yanga taifa. Amis Tambwe apiga nne, Mliberia  nae afunga bao lake la kwanza toka ajiunge Yanga na baada ya kufunga bao hilo alitoa machozi kwa furaha pia mliberia huyo alitoa pasi tatu zilizo zaa mabao matatu katika mchezo huo. Yanga sasa inazidi kujikita kileleni kwa kuwa na point 43 wakishuka dimbani mara 20, Azam...

 

11 years ago

TheCitizen

Azam conquer Oljoro, Simba fall to Coastal

>John Bocco late strike ensured Azam FC stayed hot in pursuit of their first Vodacom Premier League title after shooting down JKT Oljoro 1-0 at the Chamazi Complex yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION WAANZA KUIPIGIA HESABU AZAM FC

Na Ripota Maalum,Tanga
TIMU ya Coastal Union imewasilia jijini Tanga ikiwa na mikakati mizito ya kuhakikisha inawanyamazisha wapinzani wao Azam FC ikiwa ni muendelezo wa Michuano ya Ligi kuu soka Tanzania bara mchezo unaotarajiwa kucheza kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani wikiendi ijayo.Akizungumza leo na waandishi wa habari, Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa sasa nguvu zao watazielekeza kwenye mchezo huo utakaochezwa kwenye mjini hapa.Amesema kuwa dhamira yake aliyoipanga...

 

9 years ago

Mtanzania

Rekodi ya Ndanda yaitesa Azam

STEWART HALLNA ABDUCADO EMMANUEL, MTWARA

LICHA ya kuwa na matokeo mazuri hadi sasa, Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup), Azam FC, wameingiwa hofu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Ndanda FC utakaofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mjini hapa.

Kocha wa Azam, Stewart Hall, ameliambia gazeti hili kuwa Ndanda si timu ya kubeza hasa kutokana na rekodi yake msimu huu ya kutopoteza mchezo wowote katika uwanja wao wa nyumbani hivyo watakuwa wamepania kuendeleza rekodi hiyo...

 

9 years ago

Habarileo

JKT Ruvu wavunja rekodi ya Azam FC

MAAFANDE wa JKT Ruvu wamevunja rekodi ya Kocha Stewart Hall kutofungwa katika michuano yoyote baada ya kuifunga Azam FC mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani