Rekodi ya Ndanda yaitesa Azam
NA ABDUCADO EMMANUEL, MTWARA
LICHA ya kuwa na matokeo mazuri hadi sasa, Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup), Azam FC, wameingiwa hofu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Ndanda FC utakaofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mjini hapa.
Kocha wa Azam, Stewart Hall, ameliambia gazeti hili kuwa Ndanda si timu ya kubeza hasa kutokana na rekodi yake msimu huu ya kutopoteza mchezo wowote katika uwanja wao wa nyumbani hivyo watakuwa wamepania kuendeleza rekodi hiyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Aug
Azam FC yaifuata Ndanda
MABINGWA wa soka Afrika Mashariki na Kati, Azam FC leo wanatarajia kwenda Mtwara kuifuata Ndanda ya huko kwa ajili ya mechi ya kujipima nguvu.
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
9 years ago
Habarileo20 Oct
Azam yaenda kujaribu bahati kwa Ndanda
WAKATI michuano ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ikitarajiwa kuendelea kesho na keshokutwa katika viwanja mbalimbali nchini, timu ya Azam inatarajiwa kuondoka leo kwenda Mtwara kuifuata Ndanda FC ya huko, huku Simba ikiwa jijini Mbeya kuikabili Prisons na Yanga ikiwakaribisha Toto Africans jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Azam, Coastal, Yanga zasaka rekodi
9 years ago
Habarileo03 Sep
JKT Ruvu wavunja rekodi ya Azam FC
MAAFANDE wa JKT Ruvu wamevunja rekodi ya Kocha Stewart Hall kutofungwa katika michuano yoyote baada ya kuifunga Azam FC mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi juzi.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Kiemba afurahia kuweka rekodi akiwa Azam
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.
Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.
Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Mkwakwani yaitesa Simba