Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwakwani yaitesa Simba

‘Ina gundu’, ndivyo unavyoweza kusema ukiizungumzia Simba inapojiandaa kucheza Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ambako haijashinda kwa misimu mitatu ya Ligi Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UDA yaitesa Sumatra

MAMLAKA ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kipindi hiki linawapa wakati mgumu kutokana na kushindwa kutii taratibu zilizowekwa barabarani. Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkwakwani ni kielektroni tu

>Uongozi wa Uwanja wa CCM Mkwakwani, Tanga umesema utaendelea na utaratibu wa mfumo wa tiketi za kielektroniki na kuwataka mashabiki wanaotaka kuziona Coastal Union na Yanga leo kuwahi kwenye vituo vyenye mashine hizo.

 

9 years ago

Mtanzania

Rekodi ya Ndanda yaitesa Azam

STEWART HALLNA ABDUCADO EMMANUEL, MTWARA

LICHA ya kuwa na matokeo mazuri hadi sasa, Mabingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup), Azam FC, wameingiwa hofu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Ndanda FC utakaofanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, mjini hapa.

Kocha wa Azam, Stewart Hall, ameliambia gazeti hili kuwa Ndanda si timu ya kubeza hasa kutokana na rekodi yake msimu huu ya kutopoteza mchezo wowote katika uwanja wao wa nyumbani hivyo watakuwa wamepania kuendeleza rekodi hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Taifa Stars yaitesa Algeria

Pg 32ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mambo matatu yaitesa CCM

MBIO za kusaka urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na uteuzi wa nafasi nne za mawaziri, vinaelezwa kukibomoa chama hicho, Tanzania Daima limedokezwa. Mbali na mambo hayo, mchakato...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabilioni ya Uswisi yaitesa serikali

SERIKALI imezidi kuweweseka juu ya kuweka hadharani taarifa ya Watanzania walioficha fedha nchini Uswisi, baada ya kamati  iliyoundwa na Bunge kushindwa kutoa taarifa yake na kuomba muda zaidi wa kujiandaa....

 

10 years ago

Mwananchi

Chalenji bado yaitesa Cecafa

Mashindano ya Chalenji yanalitesa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) wakiwaza nini cha kufanya baada ya kukosekana kwa mdhamini wa mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fidia ya Maximo sasa yaitesa Yanga

Suala la fidia ya kuvunja mkataba wa kocha Marcio Maximo limeonekana kuwa mwiba mchungu kwa uongozi wa Yanga, huku Mbrazili huyo jana akionekana katika mazoezi ya asubuhi ya timu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani