Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chalenji bado yaitesa Cecafa

Mashindano ya Chalenji yanalitesa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) wakiwaza nini cha kufanya baada ya kukosekana kwa mdhamini wa mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Fidia ya Maximo sasa yaitesa Yanga

Suala la fidia ya kuvunja mkataba wa kocha Marcio Maximo limeonekana kuwa mwiba mchungu kwa uongozi wa Yanga, huku Mbrazili huyo jana akionekana katika mazoezi ya asubuhi ya timu hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Jeuri ya fedha Yanga

yangMWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.

Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...

 

11 years ago

GPL

Yanga yaonyesha jeuri ya fedha

Kikosi cha Yanga. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeonyesha jeuri ya fedha kwa wachezaji wake kufuatia kuwaahidi donge nono kila mechi kati ya walizobakiza ili kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi za jana Jumapili, Yanga ilikuwa katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 46, nyuma ya Azam iliyokuwa na pointi 50. Kikizungumza na Championi Jumatatu, chanzo cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri yaiponza Yanga kwa mahakama

Sakata la Yanga na wachezaji wake Stephen Malashi na  Wisdom Ndlovu, limechukua sura mpya baada ya kubainika viongozi

 

11 years ago

Mwananchi

Mkenya Naggi aonja jeuri ya Yanga

Mkurugenzi wa Uufundi wa Yanga, Patrick Naggi aliyetangaza kumwaga manyanga hivi karibuni kwakile alichodai ni ubabaishaji wa viongozi wa klabu hiyo, bado anaendelea kusota Dar es Salaam akisubirli mafao yake.

 

11 years ago

TheCitizen

Cecafa to discipline Yanga

The Council of East and Central Africa Football Associations (Cecafa) is set to discipline Mainland giants Young Africans allegedly for chronic ‘misbehaviour’ in the past four years.

 

11 years ago

GPL

YANGA WAISHANGAA CECAFA

Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazil, Coutinho (7) akipasha na wenzake. Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu na kusema kilichofanywa na waandaji wa michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuiondoa timu isishiriki ni cha kushangaza sana na kinadidimiza soka kwa ujumla. Katibu Mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu amesema walipata barua ya mwaliko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani