Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fidia ya Maximo sasa yaitesa Yanga

Suala la fidia ya kuvunja mkataba wa kocha Marcio Maximo limeonekana kuwa mwiba mchungu kwa uongozi wa Yanga, huku Mbrazili huyo jana akionekana katika mazoezi ya asubuhi ya timu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Bariadi sasa kudai fidia

SAKATA la mbegu za pamba zilizogoma kuota limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wakulima wa zao hilo wilayani Bariadi, Simiyu kuanza kukusanya saini zao ili waweze kuwasilisha madai ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji sasa ampa rungu Maximo

Uongozi wa Yanga umemwangushia ‘zigo’ la kina Okwi kocha wa timu hiyo Mbrazili Marcio Maximo wakisema yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho wa kumpunguza kati ya mshambuliaji Emmanuel Okwi au Hamis Kiiza.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

11 years ago

Mwananchi

KARIBU YANGA: Maximo kuunguruma

>Kocha mpya  wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewasili nchini jana na leo ataanika mikakati yake ya kuimarisha timu hiyo katika mkutano wa kwanza na vyombo vya habari.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaadabisha wavivu Yanga

Kocha wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewaadabisha wachezaji wavivu kwa kuwapa adhabu ya kukimbia kuzunguka uwanja kwa saa nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani