BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SIMBA YAMFUKUZISHA MAXIMO JANGWANI MARA BAADA YA KUWAPA KIPIGO CHA MAGOLI 2 KWA 0 YANGA
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Awadh Juma: Sijui hatima yangu Simba
MCHEZAJI wa Simba, Awadh Juma amekiri kutofahamu hatima yake ndani ya klabu ya Simba kutokana na uvumi kuwa uongozi wake unataka kumpeleka kwa mkopo kwa timu ya Stand United ya...
11 years ago
MichuziMtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
9 years ago
GPL10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
9 years ago
Mwananchi02 Sep
TFF sasa yavuna mamilioni Azam, Yanga, Simba kiulani
10 years ago
Vijimambo09 Mar