Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF sasa yavuna mamilioni Azam, Yanga, Simba kiulani

Ni dhahiri Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) litavuna Sh118.1milioni msimu huu kutoka katika klabu sita zenye wachezaji wa kigeni, lakini fedha hizo zinaonekana kuwa mtego na vita baina ya klabu na shirikisho hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Simba wavuna milioni 60, Yanga wakosa mamilioni

Kikosi cha Simba. Na Khatimu Naheka
KIKOSI cha Simba kitakomba Sh milioni 60 ambazo kiliahidiwa na uongozi wa timu hiyo iwapo kingeifunga Yanga katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wakati Simba wakijiandaa kukomba kitita hicho baada ya kuwafunga watani wao mabao 3-1, Yanga wamekosa Sh milioni 60 ambazo uongozi wa Jangwani uliahidi kuwapa wachezaji kama wataifunga Simba...

 

10 years ago

GPL

TFF YATANGAZA VIINGILIO VYA AZAM VS YANGA

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Boniface Wambura akiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari mbalimbali wakimsikiliza Wambura.…

 

10 years ago

Mwananchi

TFF sasa ‘yawaondoa’ Yanga nyota wa Ghana

Ndoto za Yanga kusajili wachezaji wawili wa kigeni kutoka Ghana zinaelekea kugonga mwamba baada ya kocha Hans van der Pluijm kurejea nchini bila nyota hao.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazitega Yanga, Simba

Ukimya wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni umenazidi kuziwaweka mtegoni klabu za Yanga na , Simba.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga sasa yairukia Azam FC

KLABU ya Yanga imeibua mpya baada ya kudai kwa sasa adui yao mkubwa ni mabingwa wa soka Tanzania Bara, Azam FC. Kauli hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Azam FC...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazikingia kifua Simba, Yanga

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezikingia ‘kifua’  Simba na Yanga na kueleza kuwa haliwezi kwa sasa kuzinyang’anya pointi kwa kuchezesha wachezaji wasio na vibali vya kufanya kazi  nchini.

 

10 years ago

TheCitizen

TFF alters date for Simba, Yanga match

Local soccer fans will have to wait a bit longer before witnessing this season’s Premier League match between the country’s football heavyweights Simba and Young Africans, it has been revealed.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani