Simba wavuna milioni 60, Yanga wakosa mamilioni
Kikosi cha Simba. Na Khatimu Naheka KIKOSI cha Simba kitakomba Sh milioni 60 ambazo kiliahidiwa na uongozi wa timu hiyo iwapo kingeifunga Yanga katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wakati Simba wakijiandaa kukomba kitita hicho baada ya kuwafunga watani wao mabao 3-1, Yanga wamekosa Sh milioni 60 ambazo uongozi wa Jangwani uliahidi kuwapa wachezaji kama wataifunga Simba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Sep
TFF sasa yavuna mamilioni Azam, Yanga, Simba kiulani
10 years ago
Michuzikuelekea mtanange wa Simba na Yanga, mashabiki milioni 20 matumbo joto
Hakuna takwimu sahihi za mashabiki wa klabu kongwe nchini za Simba na Yanga ni wangapi, lakini si chini ya watu milioni 20, akili zao zitasimama kwa takriban dk 90 na kupata kiwewe cha huzuni au furaha wakati miamba hiyo itakapovaana hapo kesho Taifa.
Joto la mechi hiyo tayari limepanda Zaidi ya nyuzi 90 huku kukiwa na hisia tofauti zikiwemo za udanganyifu wa wachezaji kuwa majeruhi ili kuteka akili za wapinzani.
Tayari kuna taarifa Yanga itawakosa wachezaji wake muhimu akiwemo...
10 years ago
Bongo513 Dec
Ray (Yanga) kumpa JB milioni 1 na kuvaa jezi ya Simba baada ya kufungwa
10 years ago
GPLSIMBA KULIPWA MAMILIONI
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
11 years ago
GPLSimba yasubiri mamilioni ya Kapombe
10 years ago
GPLOkwi aogelea mamilioni Simba
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Tambwe avuna mamilioni Simba