Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi aogelea mamilioni Simba

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
KILA mwenye nacho huongezewa, kwani Simba imemuongezea mshahara mshambuliaji wake Emmanuel Okwi ambaye sasa analipwa dola 4,000 kwa mwezi ambazo ni sawa na Sh milioni 7.Kabla ya ongezeko la mshahara huo, Okwi raia wa Uganda alikuwa analipwa mshahara wa dola 3,000 (Sh milioni 5.3). Awali Okwi alikuwa akilipwa kiasi hicho cha fedha baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Manji azuia mamilioni ya Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameonyesha ukomavu katika uongozi wa soka baada ya kukataa wachezaji wake kuuzwa katika kipindi timu yao inapambana kutetea ubingwa wa Tanzania Bara. Manji amekataa kuuzwa kwa Emmanuel Okwi kwa Klabu ya Al Ain ya Abu Dhabi ambayo ilikuwa tayari kutoa kitita cha dola 500,000 (Sh milioni 818) kwa kuwa si wakati mwafaka.… ...

 

11 years ago

GPL

Manji amdai Okwi mamilioni

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(kulia). Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji jana Jumapili amezungumza kwa mara ya kwanza kila kitu kuhusu usajili wa kiungo wake mshambuliaji, Mganda, Emmanuel Okwi. Katika mazungumzo yake jana, Manji aliweka bayana kuwa, klabu hiyo inamdai Okwi mamilioni ya fedha kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati tangu aliposajiliwa katika usajili wa...

 

11 years ago

GPL

Rage amkabidhi... Aveva mamilioni ya Okwi

Omary Mdose na Nassor Gallu
MWENYEKITI aliyemaliza muda wake katika Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, jana alimkabidhi ofisi rasmi rais mpya wa timu hiyo, Evans Aveva na amemtaka afuatilie malipo ya mauzo ya aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi kwenda Etoile du Sahel ya Tunisia. Mwenyekiti aliyemaliza muda wake katika klabu ya Simba, Ismail Aden Rage Rage alimkabidhi rasmi Aveva mikataba ya klabu hiyo… ...

 

10 years ago

GPL

SIMBA KULIPWA MAMILIONI

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeiagiza Etoile du Sahel kulipa kitita cha dola 300,000 (zaidi ya milioni 500) pamoja na faini. Fifa imeitaka klabu hiyo ya Sousse nchini Tunisia kuhakikisha inalipa fedha hizo ndani ya mwezi mmoja pamoja na faini ya dola 28,000. Hatua hiyo imefikia baada ya Simba kushinda kesi iliyotokana na Simba kushitaki kwa Fifa baada ya Etoile kushindwa kulipa fedha za malipo ya kumnunua Emmanuel Okwi...

 

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe avuna mamilioni Simba

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeitaka Simba kumlipa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe

 

11 years ago

GPL

Logarusic awapa mamilioni wachezaji wa Simba

Kocha wa Simba Zradvko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Zradvko Logarusic ameanzisha mfumo mpya wa kuwakata wachezaji fedha ambapo mwisho wa msimu utawaingizia wachezaji wake mamilioni ya fedha. Mamilioni hayo yatakayopatikana kupitia mfumo huo aliouanzisha yatatumiwa na wachezaji wake kununua vitu wanavyotaka.
Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa, Logarusic amekuwa mkali na kila mchezaji anayefanya...

 

11 years ago

GPL

Rais Kikwete amwaga mamilioni Simba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Na Hans Mloli
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amemkabidhi hundi ya Sh milioni 30 mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage kama mchango wake kwenye harakati za ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo uliopo Bunju, Dar. Rage aliweka bayana mchango wa rais huyo mbele ya waandishi wa habari jana Jumapili mara baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani