Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rage amkabidhi... Aveva mamilioni ya Okwi

Omary Mdose na Nassor Gallu
MWENYEKITI aliyemaliza muda wake katika Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, jana alimkabidhi ofisi rasmi rais mpya wa timu hiyo, Evans Aveva na amemtaka afuatilie malipo ya mauzo ya aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi kwenda Etoile du Sahel ya Tunisia. Mwenyekiti aliyemaliza muda wake katika klabu ya Simba, Ismail Aden Rage Rage alimkabidhi rasmi Aveva mikataba ya klabu hiyo… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Rage ataja waliomuuza Okwi Yanga

Na Nicodemus Jonas
MWENYEKITI aliyesimamishwa wa Simba, Ismail Rage, amefanya kikao na baadhi ya wanachama wa timu hiyo na kutoa siri kwamba waliomuuza mshambuliaji Emmanuel Okwi kwa Yanga ni Waganda, SC Villa, lakini akasisitiza ni hujuma kutoka ndani ya klabu hiyo.
Emmanuel Okwi. Championi…

 

11 years ago

GPL

FIFA YAMTUMIA RAGE BARUA YA OKWI

Emmanuel Okwi SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limetuma barua tatu tofauti kwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, moja ikiwa ni ile inayomhusu Emmanuel Okwi ambaye sasa yuko Yanga. Moja ya barua ambazo Rage amepewa kopi na Fifa ni ile ambayo Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa), limemuomba Okwi kurejea Uganda na kuitumikia timu ya taifa katika michuano ya kimataifa. Pamoja na barua hiyo, Rage amethibitisha kupokea...

 

10 years ago

GPL

Okwi aogelea mamilioni Simba

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
KILA mwenye nacho huongezewa, kwani Simba imemuongezea mshahara mshambuliaji wake Emmanuel Okwi ambaye sasa analipwa dola 4,000 kwa mwezi ambazo ni sawa na Sh milioni 7.Kabla ya ongezeko la mshahara huo, Okwi raia wa Uganda alikuwa analipwa mshahara wa dola 3,000 (Sh milioni 5.3). Awali Okwi alikuwa akilipwa kiasi hicho cha fedha baada ya...

 

11 years ago

GPL

Manji azuia mamilioni ya Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameonyesha ukomavu katika uongozi wa soka baada ya kukataa wachezaji wake kuuzwa katika kipindi timu yao inapambana kutetea ubingwa wa Tanzania Bara. Manji amekataa kuuzwa kwa Emmanuel Okwi kwa Klabu ya Al Ain ya Abu Dhabi ambayo ilikuwa tayari kutoa kitita cha dola 500,000 (Sh milioni 818) kwa kuwa si wakati mwafaka.… ...

 

11 years ago

GPL

Manji amdai Okwi mamilioni

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(kulia). Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji jana Jumapili amezungumza kwa mara ya kwanza kila kitu kuhusu usajili wa kiungo wake mshambuliaji, Mganda, Emmanuel Okwi. Katika mazungumzo yake jana, Manji aliweka bayana kuwa, klabu hiyo inamdai Okwi mamilioni ya fedha kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati tangu aliposajiliwa katika usajili wa...

 

9 years ago

Habarileo

Pinda amkabidhi ofisi Majaliwa

WAZIRI Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kumtaka aimarishe ufuatiliaji wa maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

 

9 years ago

Mwananchi

Pinda amkabidhi mikoba Majaliwa

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa huku akimtaka kufuatilia kwa karibu maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amkabidhi Nape wanamichezo, wasanii

RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo. Wakati wa kampeni zake za urais, Rais Magufuli mara kadhaa alikaririwa akisema atakuwa mstari wa mbele kuwasaidia wanamichezo na wasanii katika masuala mbalimbali wakati wa utawala wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani