Manji amdai Okwi mamilioni

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(kulia). Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji jana Jumapili amezungumza kwa mara ya kwanza kila kitu kuhusu usajili wa kiungo wake mshambuliaji, Mganda, Emmanuel Okwi. Katika mazungumzo yake jana, Manji aliweka bayana kuwa, klabu hiyo inamdai Okwi mamilioni ya fedha kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati tangu aliposajiliwa katika usajili wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Manji azuia mamilioni ya Okwi
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Manji amgeuzia kibao Okwi
SAKATA la Mshambuliaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi kuikacha timu yake ya Yanga aliyojifunga nayo mkaraba wa miaka miwili na kurejea Simba, limechukua sura mpya baada ya Yanga kumtaka awalipe fidia...
11 years ago
GPL
Okwi ampigia magoti Manji
11 years ago
GPLSUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA
10 years ago
GPL
Okwi aogelea mamilioni Simba
11 years ago
GPL
Rage amkabidhi... Aveva mamilioni ya Okwi
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Anna Mghwira amdai Magufuli Katiba mpya
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Manji aibuka Yanga
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Manji amtetea Magari