Okwi ampigia magoti Manji
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVmnpwGOvDa-FtqRo-oTS7kGw*PntjIMwJzFg8zptIIXy6x-UU*n9J2weX55WwyJIwMdJi0kc4S*uze7fhuQ-IHl/okw.gif?width=650)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi. Na Wilbert Molandi IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi, ameuomba msamaha uongozi wa timu hiyo na kuomba mwenyewe kurejea Jangwani. Hiyo ni baada ya kusikia taarifa za kupunguzwa kwa mkataba wake kutokea miaka miwili hadi mwaka mmoja kutokana na kushindwa kutimiza wajibu.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Sep
Tibaijuka ampigia magoti Magufuli
MGOMBEA ubunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka jana alilazimika kumpigia goti Dk Magufuli akiomba atakapochaguliwa, awezesha barabara inayotoka Muleba hadi Hospitali Teule ya Rubya, ijengwe kwa kiwango cha lami.
10 years ago
GPLDAVINA AMPIGIA MAGOTI MAMA KANUMBA
9 years ago
Bongo524 Dec
Ben Pol ampigia magoti Alikiba, wayamaliza, huenda wakafanya collabo
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kiba-1-300x194.jpg)
Wagombanao ndio wapatanao. Baada ya wiki nzima ya kuoga matusi kutoka kwa mashabiki wa Alikiba kutokana na kauli yake ya utata kwenye Twitter, Ben Pol amekiri kuwa aliteleza na kumuomba radhi muimbaji huyo wa Nagharamia.
Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha Jahazi cha Clouds FM Alhamis hii ambako Kiba alikuwepo studio, Ben Pol alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Kiba na anamchukulia kama kaka yake na amekiri kuwa tweet ile haikuwa sawa.
“Mimi shabiki wa Kiba, moyoni mwangu nina furaha kubwa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Magoti kwa Manji yana maana gani?
GUMZO kubwa katika medani ya soka ndani ya wiki iliyopita ni hatua ya baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga, wakiongozwa na Bakili Makele, kumwomba Mwenyekiti wao, Yusuf Manji abatilishe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Akn4LDwu9Xzj-CKpKsEDj8srqWlS9BRFziVCry63SEHf9HnqZBHkNUyxab8Iuiv61L7BzzGKJcnZLqH*Qm2n5Bn7MV79PWXC/11.jpg?width=650)
Manji azuia mamilioni ya Okwi
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Manji amgeuzia kibao Okwi
SAKATA la Mshambuliaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi kuikacha timu yake ya Yanga aliyojifunga nayo mkaraba wa miaka miwili na kurejea Simba, limechukua sura mpya baada ya Yanga kumtaka awalipe fidia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fNryDs90bWGTjix4l4Is6kFlrfPpclPsgVyzpWSmUH1C5cIrh8fZh0xUu8b6gaVvs6vXOYQZ6wfCtHYKIXq4su/manji.gif?width=650)
Manji amdai Okwi mamilioni
10 years ago
GPLSUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA
10 years ago
Mtanzania09 May
Ndanda waipigia magoti Yanga
NA MICHAEL MAURUS, MTWARA
LIGI Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 inamalizika leo kwa timu 14 za ligi hiyo zitakapokuwa katika viwanjani tofauti, huku mabingwa wa ligi hiyo, timu ya Yanga wakiwa wenyeji wa Ndanda FC ya Mtwara.
Yanga, walioondoka Dar es Salaam juzi, tayari wamewasili mkoani humo kuwavaa Ndanda katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, huku wenyeji hao wakiomba ishinde mchezo huo ili isalie kwenye ligi hiyo inayodhaminiwa na Vodacom msimu ujao.
Ndanda, walio na pointi 28, ipo...