Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji amgeuzia kibao Okwi

SAKATA la Mshambuliaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi kuikacha timu yake ya Yanga aliyojifunga nayo mkaraba wa miaka miwili na kurejea Simba, limechukua sura mpya baada ya Yanga kumtaka awalipe fidia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI 'AMGEUZIA KIBAO'RC MAKONDA, AMTAKA ARUDISHE FEDHA ZA TASAF HARAKA

*Ni baada ya Makonda kudai mzee Mkapa alimpa fedha za TASAF
 Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
RAIS Dk.John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kurudisha fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) huku akifafanua huenda kuwa Makonda ni kati ya wanakaya ambao si masikini lakini wamepata fedha hizo.
Ametoa kauli hiyo leo Februari 17 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam wakati akizindua awamu ya tatu ya TASAF ikiwa ni mkakati wa mpango wa kunusuru kaya masikini kupitia...

 

11 years ago

GPL

Okwi ampigia magoti Manji

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi. Na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi, ameuomba msamaha uongozi wa timu hiyo na kuomba mwenyewe kurejea Jangwani. Hiyo ni baada ya kusikia taarifa za kupunguzwa kwa mkataba wake kutokea miaka miwili hadi mwaka mmoja kutokana na kushindwa kutimiza wajibu.… ...

 

11 years ago

GPL

Manji azuia mamilioni ya Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Lucy Mgina
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameonyesha ukomavu katika uongozi wa soka baada ya kukataa wachezaji wake kuuzwa katika kipindi timu yao inapambana kutetea ubingwa wa Tanzania Bara. Manji amekataa kuuzwa kwa Emmanuel Okwi kwa Klabu ya Al Ain ya Abu Dhabi ambayo ilikuwa tayari kutoa kitita cha dola 500,000 (Sh milioni 818) kwa kuwa si wakati mwafaka.… ...

 

11 years ago

GPL

Manji amdai Okwi mamilioni

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(kulia). Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji jana Jumapili amezungumza kwa mara ya kwanza kila kitu kuhusu usajili wa kiungo wake mshambuliaji, Mganda, Emmanuel Okwi. Katika mazungumzo yake jana, Manji aliweka bayana kuwa, klabu hiyo inamdai Okwi mamilioni ya fedha kutokana na kushindwa kuitumikia timu hiyo kwa wakati tangu aliposajiliwa katika usajili wa...

 

10 years ago

GPL

SUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA

Manji akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini.…

 

11 years ago

Mwananchi

Manji awaita wanaompinga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amelitaka kundi la wanachama wanaopinga uamuzi wa mkutano mkuu wa kumwongezewa muda wa kuiongoza klabu hiyo, kujiorodhesha na yeye atakuwa wa kwanza  kufanya hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji ameonyesha ukomavu

TIMU ya Yanga, juzi ilifungwa mabao 3-1 na mtani wake Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyofanyika chini ya uratibu wa wadhamini wao, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manji ajibebesha lawama

MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, amewataka wanachama na mashabiki kumbebesha lawama za kipigo kutoka kwa Simba walichokipata katika pambano la Nani Mtani Jembe, lililofanyika juzi Uwanja wa Taifa, Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji amtetea Magari

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewaonya wanachama na mashabiki wa timu hiyo wanaotishia maisha Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya kimataifa wa klabu hiyo, Seif “Magari” Ahmed kuwa sheria kali zitachukuliwa dhidi yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani