Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji amtetea Magari

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewaonya wanachama na mashabiki wa timu hiyo wanaotishia maisha Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya kimataifa wa klabu hiyo, Seif “Magari” Ahmed kuwa sheria kali zitachukuliwa dhidi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri amtetea Sserunkuma

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema mshambuliaji wake raia wa Uganda, Danny Sserunkuma alicheza chini ya kiwango katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kwa sababu anahitaji muda zaidi wa kuzoeana na wenzake.

 

10 years ago

Mwananchi

Pondamali amtetea Kaseja

 Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amesema kukosekana kwa Juma Kaseja kwenye mazoezi ya Yanga hakumuumizi kichwa kwani anaamini kuwa kipa huyo atakuwa anafanya mazoezi binafsi tofauti na makipa wengine wa Kitanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

Samatta amtetea Messi

samatta4NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MCHEZAJI wa Kimataifa anayechezea klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo, Mbwana Samatta, amemkingia kifua mchezaji mwenzake wa klabu ya Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ kuwa hana ujanja wa kughushi mkataba.
Mkataba wa miaka miwili wa mchezaji huyo unadaiwa umechezewa kwa kuongezewa mwaka mmoja zaidi unaoisha Julai, mwakani, tofauti na ule alionao yeye unaomalizika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’,...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage amtetea Logarusic

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kocha wa timu hiyo, Zdravko Logarusic aliwasaidia wachezaji wake kupata mabao mawili ingawa hayakusaidia kuepuka kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu katika mechi iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo amtetea Mbrazili wake

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo na baadhi ya mashabiki wamemtetea mshambuliaji wa timu hiyo, Jaja kuwa ni mchezaji wa ndani ya eneo la hatari pekee.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mourinho amtetea refa Artkinson

Kocha wa Chelsea asema nyota wake Oscar amekiri kujiangusha ili kupewa penalti wakati wa mechi yao dhidi ya Southampton

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani