Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kapombe wa Yanga

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BAADA ya chenga za hapa na pale, kila kitu sasa kimewekwa hadharani kwamba beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, ametaka mkataba wake na AS Cannes ya Ufaransa uvunjwe na imeelezwa anataka kubaki nchini na kujiunga na Yanga. Habari za uhakika kutoka ndani ya AS Cannes nchini Ufaransa na kuthibitishwa na wakala wake anayeishi nchini Uholanzi, zimeeleza Kapombe amefanya mazungumzo na Yanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji amtetea Magari

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewaonya wanachama na mashabiki wa timu hiyo wanaotishia maisha Mwenyekiti wa Kamati ya mashindano ya kimataifa wa klabu hiyo, Seif “Magari” Ahmed kuwa sheria kali zitachukuliwa dhidi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage amtetea Logarusic

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kocha wa timu hiyo, Zdravko Logarusic aliwasaidia wachezaji wake kupata mabao mawili ingawa hayakusaidia kuepuka kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu katika mechi iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Pondamali amtetea Kaseja

 Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali amesema kukosekana kwa Juma Kaseja kwenye mazoezi ya Yanga hakumuumizi kichwa kwani anaamini kuwa kipa huyo atakuwa anafanya mazoezi binafsi tofauti na makipa wengine wa Kitanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri amtetea Sserunkuma

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema mshambuliaji wake raia wa Uganda, Danny Sserunkuma alicheza chini ya kiwango katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kwa sababu anahitaji muda zaidi wa kuzoeana na wenzake.

 

10 years ago

Mtanzania

Samatta amtetea Messi

samatta4NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MCHEZAJI wa Kimataifa anayechezea klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo, Mbwana Samatta, amemkingia kifua mchezaji mwenzake wa klabu ya Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ kuwa hana ujanja wa kughushi mkataba.
Mkataba wa miaka miwili wa mchezaji huyo unadaiwa umechezewa kwa kuongezewa mwaka mmoja zaidi unaoisha Julai, mwakani, tofauti na ule alionao yeye unaomalizika mwezi ujao.
Akizungumza na MTANZANIA jana akiwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’,...

 

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Kapombe hajakosea Azam

Baada ya kuwapo kwa taarifa za uhakika za  beki Shomari Kapombe kujiunga Azam FC, kocha wa zamani wa Taifa Stars ametetea uamuzi wa mchezaji huyo kuwa amefanya uamuzi sahihi na muda mwafaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani