Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kapombe: Naumwa, nipo tu nyumbani Moro

Beki aliyekuwa akikipiga AS Cannes ya Ufaransa, Shomari Kapombe. Na Martha Mboma
BEKI aliyekuwa akikipiga AS Cannes ya Ufaransa, Shomari Kapombe, amesema ameshindwa kufanya mazoezi kwa kuwa amekuwa akisumbuliwa na malaria mara kwa mara. Awali beki huyo alikuwa akicheza Simba na alikwenda kuichezea AS Cannes lakini amesema kwa sasa anatumia muda wake mwingi akiwa Morogoro akijiuguza. Akizungumza na Championi Ijumaa, beki huyo...

 

11 years ago

GPL

Kapombe wa Yanga

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BAADA ya chenga za hapa na pale, kila kitu sasa kimewekwa hadharani kwamba beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, ametaka mkataba wake na AS Cannes ya Ufaransa uvunjwe na imeelezwa anataka kubaki nchini na kujiunga na Yanga. Habari za uhakika kutoka ndani ya AS Cannes nchini Ufaransa na kuthibitishwa na wakala wake anayeishi nchini Uholanzi, zimeeleza Kapombe amefanya mazungumzo na Yanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Kapombe hajakosea Azam

Baada ya kuwapo kwa taarifa za uhakika za  beki Shomari Kapombe kujiunga Azam FC, kocha wa zamani wa Taifa Stars ametetea uamuzi wa mchezaji huyo kuwa amefanya uamuzi sahihi na muda mwafaka.

 

11 years ago

GPL

Simba yampiga pini kapombe

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
TAARIFA za beki Shomari Kapombe kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC zimetibua mambo na Simba imeamua kuanika mkataba wake. Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa ambayo Kapombe anaichezea, ilisema imepata taarifa za mchezaji huyo kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC na wakala wake, Denis Kadito anayeishi nchini Uholanzi akalithibitisha hilo. Lakini uchunguzi wa Championi Jumatano...

 

11 years ago

GPL

Azam yamtangaza rasmi Kapombe

Kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe. Na Martha Mboma
KLABU ya Azam, jana ilimtangaza rasmi kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe kuwa msimu ujao atavaa jezi zao.
Kapombe aliondoka Simba na kujiunga na timu ya Daraja la Nne ya Ufaransa, As Cannes, lakini mwishoni mwa mwaka jana alitua nchini kuichezea Taifa Stars, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kugoma kurudi tena Ufaransa. Kapombe alizungumza mambo...

 

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

11 years ago

GPL

Shomari Kapombe atangaziwa kifungo

Na Hans Mloli
KLABU ya AS Cannes ya Ufaransa imetangaza kuwa kama itaona suala la utovu wa nidhamu linaendelea kwa beki wake, Shomari Kapombe, basi itamfungia mara moja. AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, imeonyesha kuchoshwa na danadana kuhusiana na Kapombe. Lakini wakati ikitangaza hali hiyo, taarifa zinaeleza Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limeingilia suala hilo.
Mmoja wa maofisa wa AS...

 

11 years ago

GPL

Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, amemtaja Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic kuwa sababu mojawapo ya kushindwa kurudi Simba kufanya mazoezi na badala yake kujiunga na Azam.
Kapombe alisajiliwa na AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, lakini alirejea nchini kuichezea timu ya taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kuanzia hapo amegoma kurudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani