Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yamtangaza rasmi Kapombe

Kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe. Na Martha Mboma
KLABU ya Azam, jana ilimtangaza rasmi kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe kuwa msimu ujao atavaa jezi zao.
Kapombe aliondoka Simba na kujiunga na timu ya Daraja la Nne ya Ufaransa, As Cannes, lakini mwishoni mwa mwaka jana alitua nchini kuichezea Taifa Stars, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kugoma kurudi tena Ufaransa. Kapombe alizungumza mambo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33

Shomari Kapombe. Hans Mloli na Musa Mateja
KIUNGO kiraka Shomari Kapombe, sasa mambo safi na amekamilisha kila kitu kurejea kucheza soka nchini na tayari amemalizana na klabu ya Azam FC na amekabidhiwa jezi yake kabisa. Imefahamika kuwa Kapombe amekubali kujiunga na Azam kutokana na kutokuwa katika maelewano mazuri na AS Cannes aliyojiunga nayo akitokea Simba, mwaka jana. Habari za uhakika, asilimia mia, Kapombe ameishavunja...

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Kapombe hajakosea Azam

Baada ya kuwapo kwa taarifa za uhakika za  beki Shomari Kapombe kujiunga Azam FC, kocha wa zamani wa Taifa Stars ametetea uamuzi wa mchezaji huyo kuwa amefanya uamuzi sahihi na muda mwafaka.

 

10 years ago

Mtanzania

Kapombe, Leonel waiua Azam Kagame

Kikosi cha Azam

Kikosi cha Azam

NA ZAITUNI KIBWANA, RWANDA

TIMU ya Azam FC jana imeaga Michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penalti 4-3 na timu ya El- Merreikh ya Sudan, katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Nyamirambo, mjini hapa.

Mchezo huo ulifikia kuamuliwa kwa penalti baada ya timu hizo kwenda sare ya kutofungana ndani ya dakika tisini.

Wachezaji wa Azam waliopata penalti ni, Aggrey Morris, Didier Kavumbagu na Erasto Nyoni, huku Shomar Kapombe akipaisha...

 

11 years ago

GPL

AS Cannes yalia Kapombe kuzuiwa na Azam FC

Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa. Na Martha Mboma
KLABU ya AS Cannes ya Ufaransa imelalamika kwamba beki wake Shomari Kapombe amekuwa akishawishiwa kuvunja mkataba na klabu ya Azam ya nchini. AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, imesema Kapombe ameshindwa kurejea nchini humo huku akisisitiza anataka kuvunja mkataba na wao wanaamini hiyo ni janja ya Azam FC.
Ofisa wao ambaye hujitambulisha kwa jina la Pierre...

 

9 years ago

GPL

UKAWA YAMTANGAZA RASMI JULIUS MTATIRO KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SEGEREA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CUF, Julius Mtatiro. Ndugu zangu, hivi punde nimepokea simu za Hongera kutoka kwa waandishi kadhaa wa habari waliotoka kwenye mkutano wa UKAWA wa kutangaza majimbo ambayo yalikuwa hayajagawanywa. Wamenijulisha kuwa jimbo la Segerea limewekwa chini ya CUF katika nafasi ya ubunge ikiwa na maana kuwa nakuwa mwakilishi rasmi wa UKAWA katika jimbo hili. Nimeongea na viongozi wakuu wa vyama...

 

9 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

AZAM TV YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv  mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yamkaribisha Magufuli rasmi

Azam imefanikiwa kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu na kumkaribisha rasmi Ikulu rais mteule wa Tanzania, Dk John Magufuli.

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary akiwa ndani ya studio za Azam TV. MTANGAZAJI mahiri Charles Hillary aliyekuwa Shirika la Habari la BBC jijini London leo ametua rasmi katika kituo cha Television cha Azam TV kuungana na watangazaji wenzake.
Katika tasnia ya habari, Charles Hillary amefanya kazi ya utangazaji kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1993 akiwa Radio Tanzania Dar es Salaam.
Mwaka 1994 alijiunga na Radio One ikiwa ni radio ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani