Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM TV YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv  mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAISHA BASEMENT YAZINDULIWA RASMI

Kutoka kushoto ni Meneja burudani wa New Maisha Basement, Geofrey Gilla, Meneja Mipango, Samwel Kariuki, HK, Meneja wa New Maisha Basement, Allan Ngugi na Ofisa Uhusiano wa New Maisha Basement, Omary Sharifu kwenye mkutano huo. HK akitoa maelekezo juu ya ubora wa klabu hiyo.…

 

9 years ago

Michuzi

DAWASCO SACCOS YAZINDULIWA RASMI

 SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), imezindua rasmi mfuko wa akiba na mikopo (Saccos) kwaajili ya wafanyakazi wa shirika hilo katika harakati za kujikomboa kiuchumi na kuimarisha umoja miongoni mwao.
Akiongea na wafanyakazi katika uzinduzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja amewahimiza wafanyakazi kuitumia Saccos hiyo kujikomboa kiuchumi na kuondokana na utozwaji mkubwa wa riba kutoka kwa baadhi ya taasisi za fedha, hali inayowaumiza...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAZINDULIWA RASMI LEO

Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd. Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Maabara ya mafunzo itembeayo yazinduliwa rasmi

DSC_0080

Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji. Kulia ni Naibu Balozi wa Ireland nchini, Maire Matthews na kushoto ni Mkurugenzi wa ECSA anayeshughulikia Afya ya jamii Prof Yoswa Dambisya.

Na Mwandishi wetu

Mganga Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,  Dk. Magreth Mhando mwishoni mwa juma alizindua maabara ya upasuaji ya mafunzo inayotembea iliyotolewa kwa chuo kitembeacho cha COSECSA...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU Going Bongo yazinduliwa rasmi nchini

 Na Mwandishi Wetu
FILAMU Going Bongo ilizinduliwa rasmi juzi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, katika hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo, jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuizindua filamu hiyo, Mwigizaji Mkuu wa Going Bongo Ernest Rwandalla alisema kuwa filamu hiyo imeshaanza kuoneshwa kimataifa zaidi kwa kuwa watu mbalimbali duniani wameanza kuifuatilia kwa njia ya I tune.
Alisema kuwa ni filamu ambayo inahusiana na suala la afya...

 

10 years ago

CloudsFM

CLOUDS TV INTERNATIONAL YAZINDULIWA RASMI DUBAI

Hongera kwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw Joseph Kusaga ndoto yake imekuwa kweli sasa Clouds TV International kuwa kituo cha kwanza cha Television cha Kiafrika kuonekana nchi zote za Falme za Kiarabu. #TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka

 

5 years ago

Michuzi

Bodi ya Shule ya Mrisho Gambo Yazinduliwa Rasmi.

Na Ashura Mohamed-Arusha

Katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega amezindua bodi ya shule ya sekondari ya Mrisho Gambo iliyopo katika kata ya Olasiti Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo kwa niaba ya mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,Kwitega aliitaka bodi hiyo kuhakikisha kuwa inasimamia ubora wa elimu na kuhakikisha inafanya vizuri na kuwa ya mfano.
Pia alisema kuwa ujenzi wa shule hiyo ulitokana na kuongezeka kwa ufaulu katika mkoa wa Arusha hivyo kulazimika kutafuta namna ya ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASK INDUS YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Kampuni ya Ask Indus (T) Limited yenye lengo la kuunganisha kati ya Tanzania na India katika nyanja ya Afya,elimu pamoja na masuala ya biashara hususan katika sekta binafsi imezinduliwa rasmi leo,nchini Tanzania.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam,Balozi wa India nchini,Mhe. Debnath Shaw amesema Watanzania watafaidika na Kampuni hiyo kwa kuwa itatoa msaada zaidi katika matibabu bora,Elimu bora kwa wanafunzi pamoja na huduma bora...

 

10 years ago

Dewji Blog

Paisha yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya Serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.

Meneja bidhaa wa Paisha, Godfrey Fataki akizungumzia jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani