Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILAMU Going Bongo yazinduliwa rasmi nchini

 Na Mwandishi Wetu
FILAMU Going Bongo ilizinduliwa rasmi juzi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, katika hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo, jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuizindua filamu hiyo, Mwigizaji Mkuu wa Going Bongo Ernest Rwandalla alisema kuwa filamu hiyo imeshaanza kuoneshwa kimataifa zaidi kwa kuwa watu mbalimbali duniani wameanza kuifuatilia kwa njia ya I tune.
Alisema kuwa ni filamu ambayo inahusiana na suala la afya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FILAMU YA ‘GOING BONGO’ YAZINDULIWA KWA SHAMRA

Muigizaji mkuu wa filamu hiyo, Ernest Rwandalla, akiwa na baadhi ya warembo waliokuwepo kwenye uzinduzi huo. .....Akiwa na baadhi ya waigizaji wengine. …Akihojiowa na vyombo vya habari.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASK INDUS YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Kampuni ya Ask Indus (T) Limited yenye lengo la kuunganisha kati ya Tanzania na India katika nyanja ya Afya,elimu pamoja na masuala ya biashara hususan katika sekta binafsi imezinduliwa rasmi leo,nchini Tanzania.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam,Balozi wa India nchini,Mhe. Debnath Shaw amesema Watanzania watafaidika na Kampuni hiyo kwa kuwa itatoa msaada zaidi katika matibabu bora,Elimu bora kwa wanafunzi pamoja na huduma bora...

 

9 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR

FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi  imekamilika  sasa kuzinduzliwa rasmi kesho  Ijumaa kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia  katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema, 
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...

 

9 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI ''Nimpende Nani (Gentleman au Bongo Flavor)''

Filamu ya Kiswahili iliyotengenezwa na waswahili waishio Holland katika kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona

 

9 years ago

Dewji Blog

TAZAMA FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI ”Nimpende Nani (Gentleman au Bongo Flavor)”

Untitled 00000

Filamu ya Kiswahili iliyotengenezwa na Watanzania waishio Holland katika kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona. Bonyeza Play hapa chini kuitazama….

 

10 years ago

Dewji Blog

Proin Promotions na Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji wazindua rasmi ununuzi wa filamu za Kitanzania Online

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali katika uzinduzi wa filamu za kitanzania ambazo sasa zitakuwa zikiuzwa online.sherehe hizo za uzinduzi ambazo zilifanyika jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.  Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Vijimambo

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI UKISHIRIKIANA NA PROIN PROMOTIONS WAZINDUA RASMI MANUNUZI YA FILAMU ZA KITANZANIA ONLINE

 Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania online hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani