FILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR
FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi imekamilika sasa kuzinduzliwa rasmi kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema,
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...
Michuzi