KAMPUNI YA ASK INDUS YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-QKlj2xvsZBo/VRBWYjVuWPI/AAAAAAAHMkw/4BuydWd4pYc/s72-c/DSC_0050.jpg)
Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Kampuni ya Ask Indus (T) Limited yenye lengo la kuunganisha kati ya Tanzania na India katika nyanja ya Afya,elimu pamoja na masuala ya biashara hususan katika sekta binafsi imezinduliwa rasmi leo,nchini Tanzania.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam,Balozi wa India nchini,Mhe. Debnath Shaw amesema Watanzania watafaidika na Kampuni hiyo kwa kuwa itatoa msaada zaidi katika matibabu bora,Elimu bora kwa wanafunzi pamoja na huduma bora...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Kampuni ya matangazo yanayotembea (TRIA) yazinduliwa rasmi Tanzania
DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo.
TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua rasmi matangazo hayo nchini Tanzania wa pili kulia ni ZULFIKAR MOHAMED Meneja Mkuu wa kampuni ya TRANSPAPER EXPRESS na mwisho kulia ni DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA na kushoto ni AZDA AMANI Meneja wa Huduma Shirika la ndege la PRECISION AIRLINE ambao ni wateja...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/1q.jpg)
KAMPUNI YA MATANGAZO YANAYOTEMBEA (TRIA) YAZINDULIWA RASMI TANZANIA
10 years ago
MichuziFILAMU Going Bongo yazinduliwa rasmi nchini
FILAMU Going Bongo ilizinduliwa rasmi juzi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, katika hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo, jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuizindua filamu hiyo, Mwigizaji Mkuu wa Going Bongo Ernest Rwandalla alisema kuwa filamu hiyo imeshaanza kuoneshwa kimataifa zaidi kwa kuwa watu mbalimbali duniani wameanza kuifuatilia kwa njia ya I tune.
Alisema kuwa ni filamu ambayo inahusiana na suala la afya...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!
Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s72-c/IMG_0414.jpg)
MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_qV7YX-_76I/UyqtBKiMBQI/AAAAAAAFVFU/7M54lHj6DH8/s1600/IMG_0443.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Ask Indus Global wazindua ofisi Tanzania
![Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal pamoja na wageni wengine wakishuhudia.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0044.jpg)
Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal pamoja na wageni wengine wakishuhudia.
![Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal (kulia) akitoa ufafanuzi ndani ya Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania kwa Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0052.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal (kulia) akitoa ufafanuzi ndani ya Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania kwa Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw.
![Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw (kushoto) akizungumza mara baada ya kuzinduzi rasmi Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania. Kutoka kulia ni Meneja wa Ask Indus nchini Tanzania, A. Prakash na Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_00881.jpg)
Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw (kushoto) akizungumza mara baada ya kuzinduzi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Xp-T4_iLv8w/U0uieOUcvFI/AAAAAAAFakQ/l2plRiJ2Czk/s72-c/unnamed+(1).jpg)
NITETEE FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA KUTETEA WANAWAKE NA WATOTO WANAOSHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TANZANIA.