MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni mkurugenzi wa kamåuni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania