MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
Aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014 kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s72-c/IMG_0414.jpg)
MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_qV7YX-_76I/UyqtBKiMBQI/AAAAAAAFVFU/7M54lHj6DH8/s1600/IMG_0443.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
10 years ago
GPLMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Redd’s Miss Tanzania 2014 kupatikana leo Dar
WASICHANA 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, jioni ya leo watapanda jukwaani kujaribu bahati katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Warembo hao waliopo kambini kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-99R1hyG4tho/U4RgrlKJ-OI/AAAAAAAFlcs/nHVuC0s_sNs/s72-c/MMGN8850.jpg)
Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
FINCA Microfinance Bank yazinduliwa rasmi jijini Dar leo
Hapa uzinduzi rasmi wa Finca Microfinance Bank ukifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa benki hiyo. Kushoto ni Zulpha Semboja na Kulia ni Rahmathi Damac warembo wa benki hiyo waliokuwa wakitoa huduma wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kutoka kulia ni Meneja Rasilimali Watu (HRM), Mary...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sMzwNc2e83uUQx4ayRKYJ-krcimlXWNyUMEtSzJ1qyIFysTM20RRGn*Lf8RjVIbrYIlR-KzEkexcSry*4zvVQ8nHjFxCc8z-/1.jpg?width=650)
MASHINDANO YA MISS KILIMANJARO YAZINDULIWA DAR
10 years ago
GPLNICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-y5kqHKXBwOQ/VDUXvintxJI/AAAAAAAGoog/pxhH-LgfOeM/s640/9.jpg)
REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII