NICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014  usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam. Tano bora ilikuwa hii.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg?width=640)
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
10 years ago
VijimamboEVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
10 years ago
GPLEVELYN BAASA NDIYE REDD’S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jihan Dimachk ndiye Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-y5kqHKXBwOQ/VDUXvintxJI/AAAAAAAGoog/pxhH-LgfOeM/s640/9.jpg)
REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s72-c/1.jpg)
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg)
Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-FpzXNqOH2XM/VCqwGAeo7PI/AAAAAAAAXvQ/1Evd844EeWk/s72-c/IMG-20140928-WA0012.jpg)