Jihan Dimachk ndiye Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014
10 years ago
GPLJIHAN DIMESH AWA REDD’S MISS ILALA 2014
 Jihan Dameshi akiwa na mshindi wa pili Nasreen Abdul (kushoto)na Happiness Sostheen.    …Wakijitayarisha kumtangaza mshindi.…
10 years ago
VijimamboEVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
10 years ago
MichuziNICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLEVELYN BAASA NDIYE REDD’S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014
Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa. Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi  wa taji hilo, Evelyn Baasa (katiakti) jana. Wengine kutoka kushoto ni Nicole Sarakikya, Lilian Kamazima, Lilian Timothy na Dorice…
11 years ago
MichuziJIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014
10 years ago
GPLNICOLE FRANKLYN SARAKIKYA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014
Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014  usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Tano bora ilikuwa hii.… ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s72-c/1.jpg)
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg)
Shila ameungana na warembo wengine Camila Cindy John aliyeshika nafasi ya pili na Queenlatifa Hashim aliyeshika nafasi ya tatu ambao kwa pamoja wamepata tiketi ya kuiwakilisha Kanda ya Kinondoni katika...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-kABfhm1K8AI/U-8f89AEhQI/AAAAAAAAV7o/7wAo4WY1d1E/s1600/1.jpg?width=640)
MARIA SHILA NDIYE REDD'S MISS KINONDONI 2014
Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila akipunga mkono baada ya kutawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni katika shindano lililoshirikisha wanyange 16 waliokuwa wakiwania tiketi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania 2014. Shindano hilo lilifanyika Dar es Salaam usiku wa kuamia leo.
 Redd's Miss Kinondoni 2014, Maria Shila (klatikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi wa taji hilo na kuwaongoza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania