KAMPUNI YA MATANGAZO YANAYOTEMBEA (TRIA) YAZINDULIWA RASMI TANZANIA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/08/1q.jpg)
DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo. TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi Mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua rasmi matangazo hayo nchini Tanzania, wa pili kulia ni ZULFIKAR MOHAMED Meneja Mkuu wa kampuni ya TRANSPAPER EXPRESS na mwisho kulia ni DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Kampuni ya matangazo yanayotembea (TRIA) yazinduliwa rasmi Tanzania
DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo.
TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua rasmi matangazo hayo nchini Tanzania wa pili kulia ni ZULFIKAR MOHAMED Meneja Mkuu wa kampuni ya TRANSPAPER EXPRESS na mwisho kulia ni DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA na kushoto ni AZDA AMANI Meneja wa Huduma Shirika la ndege la PRECISION AIRLINE ambao ni wateja...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QKlj2xvsZBo/VRBWYjVuWPI/AAAAAAAHMkw/4BuydWd4pYc/s72-c/DSC_0050.jpg)
KAMPUNI YA ASK INDUS YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA
Kampuni ya Ask Indus (T) Limited yenye lengo la kuunganisha kati ya Tanzania na India katika nyanja ya Afya,elimu pamoja na masuala ya biashara hususan katika sekta binafsi imezinduliwa rasmi leo,nchini Tanzania.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam,Balozi wa India nchini,Mhe. Debnath Shaw amesema Watanzania watafaidika na Kampuni hiyo kwa kuwa itatoa msaada zaidi katika matibabu bora,Elimu bora kwa wanafunzi pamoja na huduma bora...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi660N70kmViVg2SqzyXunfI9jR0Sy3qiEp4R3WdPSbjviaLaHr2tzoEqd71NozDIJwfEXVh*k0R9JyChy*fKPVbJ/IMG20150821WA0072.jpg)
NMB MASTERCARD YAZINDULIWA RASMI KWA MKOA WA ARUSHA
10 years ago
GPLTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI NDANI YA MZALENDO PUB IKISINDIKIZWA NA FM ACADEMIA, BARNABA
10 years ago
GPLMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E-eiwesnIS3e3vHtdBJiV-KXKz52BbaF45dAUQVu1iISGcrv6TPlIZUz*woc7Czza6ClpFPs1Rg29C5RffvRTr2COjeGHity/Pichana1..jpg?width=650)
MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDULIWA RASMI,WANANCHI WATAKIWA KULINDA NA KUTUNZA MIUNDOMBINU.
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa
Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Tanzania Media Foundation (TMF) mpya yazinduliwa rasmi!
Mwenyekiti wa Bodi ya TMF Mama Halima Shariff akitoa neno la shukurani baada ya bodi hiyo kuzinduliwa usiku wa Septemba 22.2015, katika ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mama Sihaba Nkinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanzania Media Foundation – Mfuko wa Habari Tanzania – TMF) uliyofanyika usiku wa kuamkia Septemba 22.2015 kwenye ukumbi wa LAPF Millennium Tower jijini Dar es Salaam. Mfuko huu unachukua...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s72-c/IMG_0414.jpg)
MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.
![](http://1.bp.blogspot.com/-9y-U8eb2ju4/Uyqs_qPhr3I/AAAAAAAFVFM/HA6Yd13HqRw/s1600/IMG_0414.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_qV7YX-_76I/UyqtBKiMBQI/AAAAAAAFVFU/7M54lHj6DH8/s1600/IMG_0443.jpg)