THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI NDANI YA MZALENDO PUB IKISINDIKIZWA NA FM ACADEMIA, BARNABA
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku ya Jumamosi ya Julai 18, Sikukuu ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.  Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-DbKSIxEcMBI/VavMZMuhl2I/AAAAAAABSL4/K8gUhWx8El4/s640/DSC_0033.jpg)
Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
The Stars Band yazinduliwa rasmi siku ya Eid Mosi Mzalendo Pub, huku ikisindikizwa na FM Academia pamoja na Barnaba
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.
Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wake pamoja na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa uzinduzi...
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
The Stars Band kuzinduliwa rasmi Eid Mosi ndani ya Mzalendo Pub
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’
Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari wapo katika mazoezi mbalimbali na ‘crew’ nzima ya bendi hiyo ambayo inaunganisha...
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Academia kuitikisa Mzalendo Pub leo
BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia, leo usiku itazindua albamu ya 10 katika ukumbi wa Mzalendo Pub ulioko katika Jengo la Millenium Tower, jijini Dar es Salaam. Akizungumza...
10 years ago
Dewji Blog08 May
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aVJc-6o31P4/Uy-WPeiEn4I/AAAAAAAFV0I/2gIg41nlGFA/s72-c/IMG_20140318_201929.jpg)