Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Academia kuitikisa Mzalendo Pub leo

BENDI  ya muziki wa dansi ya FM Academia, leo usiku itazindua albamu ya 10 katika ukumbi wa Mzalendo Pub ulioko katika  Jengo la Millenium Tower, jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI NDANI YA MZALENDO PUB IKISINDIKIZWA NA FM ACADEMIA, BARNABA‏

Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku ya Jumamosi ya Julai 18, Sikukuu ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.  

Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

The Stars Band yazinduliwa rasmi siku ya Eid Mosi Mzalendo Pub, huku ikisindikizwa na FM Academia pamoja na Barnaba

DSC_0035 (2)

Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.  

Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wake pamoja na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA

Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikisindikizwa na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.  

Mkurugenzi wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm  pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The Stars Band wakati wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mrithi wa MCD Twanga kutambulishwa Mzalendo Pub leo

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho la aina yake katika kusherehekea Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

The Stars Band kuzinduliwa rasmi Eid Mosi ndani ya Mzalendo Pub

IMG-20150715-WA0008

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Bendi mpya  ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’

Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari wapo katika mazoezi mbalimbali na ‘crew’ nzima ya bendi hiyo ambayo inaunganisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani