Ask Indus Global wazindua ofisi Tanzania
Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal pamoja na wageni wengine wakishuhudia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal (kulia) akitoa ufafanuzi ndani ya Ofisi za Ask Indus nchini Tanzania kwa Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw.
Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw (kushoto) akizungumza mara baada ya kuzinduzi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA ASK INDUS YAZINDULIWA RASMI NCHINI TANZANIA
Kampuni ya Ask Indus (T) Limited yenye lengo la kuunganisha kati ya Tanzania na India katika nyanja ya Afya,elimu pamoja na masuala ya biashara hususan katika sekta binafsi imezinduliwa rasmi leo,nchini Tanzania.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam,Balozi wa India nchini,Mhe. Debnath Shaw amesema Watanzania watafaidika na Kampuni hiyo kwa kuwa itatoa msaada zaidi katika matibabu bora,Elimu bora kwa wanafunzi pamoja na huduma bora...
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Washiriki wa fainali za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) watembelea Ofisi za Global Publishers leo
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani).
Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa Dodoma Mwinshehe Mohamed akijitambulisha mbele ya wafanyakazi wa Kampuni ya Kubwa ya Habari ya Global Publishers Limited...
11 years ago
MichuziWASHIRIKI WA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Bamaga Mwenge Jijini Dar Es...
9 years ago
MichuziBANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi mpya kwenye ghorofa ya pili ya jengo la benki hiyo lililopo jengo la Makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina akiwa na baadhi ya wadau wa benki hiyo wakati wa kuzindua ofisi ya benki hiyo ghorofa ya pili ya benki hiyo.
Mwenyekiti wa bodi wa Benki ya Barclays hapa nchini, Ramadhani Dau akifungua...
11 years ago
GPLSUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
GPLMTIBWA SUGAR WATINGA OFISI ZA GLOBAL
11 years ago
GPLMAOFISA WA TIGO WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
11 years ago
GPL02 Apr
WEMA SEPETU AJITOA FAHAMU OFISI ZA GLOBAL