MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mh. Sumaye akielekezwa na Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka, katikati ni Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli.
 ….Akisalimiana na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho ofisini kwake.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/NAPE-2.jpg?width=650)
NAPE NNAUYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers, Brighton Masalu akimuuliza swali Nape Nnauye.…
11 years ago
GPLMPIGA SOLO, HENRY MKANYIA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Miga gitaa la solo, Henry Mkanyia akifurahia jambo ndani ya studio za Global TV Online leo. Henry Mkanyia katika pozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global ndani ya studio za Global TV Online.…
10 years ago
GPLMTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI WA VOA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Mtangazji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA), Sunday Shomari akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Sunday Shomari akiwa katika pozi na wahariri wa Magazeti ya Global…
11 years ago
GPLMEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili katika ofisi za Global Publishers. Anayempokea ni Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli. Jerry Silaa akilakiwa na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kushoto).…
10 years ago
GPLKAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…
10 years ago
GPLY-TONY ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Y-Tony akiwa katika pozi ndani ya studio za Global TV Online mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano leo. Y-Tony wakati akifanyiwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pam Daffa (kushoto).…
11 years ago
GPLASHA BARAKA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Asha Baraka akiwa tayari kwa mahojiano na Global TV Online ndani ya ofisi za Global Publishers. Asha Baraka akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…
11 years ago
GPLMBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita akfafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani). Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul 'Kigogo' akimuuliza swali Mboni Mhita.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania