SUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mh. Sumaye akielekezwa na Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka, katikati ni Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli.  ….Akisalimiana na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho ofisini kwake.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/NAPE-2.jpg?width=650)
NAPE NNAUYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers, Brighton Masalu akimuuliza swali Nape Nnauye.…
11 years ago
GPLMPIGA SOLO, HENRY MKANYIA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Miga gitaa la solo, Henry Mkanyia akifurahia jambo ndani ya studio za Global TV Online leo. Henry Mkanyia katika pozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global ndani ya studio za Global TV Online.…
11 years ago
GPLMEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry Silaa akiwasili katika ofisi za Global Publishers. Anayempokea ni Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli. Jerry Silaa akilakiwa na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kushoto).…
10 years ago
GPLMTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI WA VOA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Mtangazji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA), Sunday Shomari akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Sunday Shomari akiwa katika pozi na wahariri wa Magazeti ya Global…
11 years ago
GPLMAOFISA WA TIGO WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akiteta jambo na maofisa wa Tigo. Katikati ni Suleiman Asilia na John Wanyancha. Abdallah Mrisho akiwatambulisha maofisa hao kwa wafanyakazi wa Global.…
11 years ago
GPLASHA BARAKA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Asha Baraka akiwa tayari kwa mahojiano na Global TV Online ndani ya ofisi za Global Publishers. Asha Baraka akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…
11 years ago
GPLMBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita akfafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani). Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul 'Kigogo' akimuuliza swali Mboni Mhita.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3PWVJjJ-hfq5u8OkwJR-F4-4k59BnQG8uVaqShbEaFhOGTaj0resxKrxxHrQxA003h34-cVnkITcvmZ*LYl4I0/TUMAINI2.jpg?width=650)
WANAFUNZI IRINGA UNIVERSITY WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Richard Manyota akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (zamani Tumaini University) walipotembelea ofisi za Global Publishers leo. Baadhi ya wanafunzi wanaosomea Uandishi wa Habari, Chuo Kikuu cha Iringa pamoja na viongozi wao wakimsikiliza Manyota. Wanafunzi 30 wanaosomea fani ya Uandishi wa Habari katika Chuo Kikuu… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania