Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASHA BARAKA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Asha Baraka akiwa tayari kwa mahojiano na Global TV Online ndani ya ofisi za Global Publishers. Asha Baraka akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita akfafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani). Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul 'Kigogo' akimuuliza swali Mboni Mhita.…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL ILIVYOWAPATANISHA CHOKI, ASHA BARAKA!

Stori: Nyemo Chilongani/Ijumaa Wikienda
WAMEPATANA! Hatimaye Kampuni ya Global Publishers inayochapa gazeti hili na mengine ya Ijumaa, Uwazi, Risasi, Amani na Championi imefanikiwa kuwapatanisha wale mahasimu wawili ambao ni viongozi wa bendi mbili tofauti, Mkurugenzi wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mwenzake wa Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo Staili’, Ali...

 

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS

Mshindi wa BSS 2014 Emmanueli Msuya akiwa katika mahojiano katika ofisi ya globalpublishers ....Emanueli Msuya akifanunua jambo alipokuwa akifanya interview ndani ya ofisi za globalpublishers .......Emanueli Msuya akiwa na mfanyakazi wa Globalpublishers bwana Musa Mateja.…

 

11 years ago

GPL

SUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mh. Sumaye akielekezwa na Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka, katikati ni Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli.
 ….Akisalimiana na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho ofisini kwake.…

 

10 years ago

GPL

MTOTO NICE MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU ATINGA GLOBAL PUBLISHERS LEO


Mtoto Nice Valentino akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. MTOTO Nice Valentino mwenye miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kipekee wa kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi pamoja na kukokotoa mahesabu leo ametembelea ofisi za Global Publishers na kufanyiwa mahojiano na Global TV Online. Mbali na kuongea kiingereza fasaha, Nice hajawahi kwenda shule yoyote kujifunza lugha hiyo ya… ...

 

9 years ago

GPL

NAPE NNAUYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers, Brighton Masalu akimuuliza swali Nape Nnauye.…

 

11 years ago

GPL

MAOFISA WA TIGO WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akiteta jambo na maofisa wa Tigo.  Katikati ni  Suleiman Asilia na John Wanyancha. Abdallah Mrisho akiwatambulisha maofisa hao kwa wafanyakazi wa Global.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani