MTOTO NICE MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU ATINGA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Mtoto Nice Valentino akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers. MTOTO Nice Valentino mwenye miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kipekee wa kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi pamoja na kukokotoa mahesabu leo ametembelea ofisi za Global Publishers na kufanyiwa mahojiano na Global TV Online. Mbali na kuongea kiingereza fasaha, Nice hajawahi kwenda shule yoyote kujifunza lugha hiyo ya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD
11 years ago
GPLASHA BARAKA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
GPLMSHINDI WA BSS MWAKA 2013 ATINGA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s72-c/page3.jpg)
MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO
![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s1600/page3.jpg)
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.
10 years ago
GPLPAH ONE WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3OIMsngQKVezOXf9GAu2Iw9p7ZOa2wpvj-01QcbwfjpeJmcSrrf5vigfsR408X96iZEiEbuG3QSYSa5luxlY4aQ/MARY1.jpg?width=600)
GLOBAL PUBLISHERS TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA LEO
10 years ago
GPLSTAND UNITED WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
10 years ago
GPLWASAFI CLASSIC WAJINAFASI NDANI YA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
10 years ago
GPLNISHER ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO