NISHER ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO
Producer wa video za muziki Tanzanzia kutoka Arusha, Nisher kabla ya mahojiano na Global TV Online. Nisher akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMSANII MANAIKI SANGA ATINGA GLOBAL TV ONLINE LEO
Manaiki Sanga 'The Don' akisalimiana na Clarence Mulisa, Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia na Habari, Global Publishers. Manaiki Sanga akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota alipowasili kwa ajili ya mahojiano na Global TV Online leo.…
10 years ago
GPLBOB JONIOR ATINGA GLOBAL TV ONLINE JIONI YA LEO
Msanii wa muziki na producer, Bob Junior akifanya mahojiano na Global TV Online jioni hii. Bob Junior akifafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani).…
11 years ago
GPLAMMY NANDO ATINGA GLOBAL NA BAISKELI, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Ammy Nando akiwa katika usafiri wake aliotinga nao Global akijiandaa kuondoka baada ya mahojiano na Global TV Online. Ammy Nando na mdogo wake wakitokomea baada ya mahojiano na Global TV Online.…
10 years ago
GPLNUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mkude Simba (kulia) na Stan Bakora wakipozi katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Mkude Simba a.k.a Kitale akiongea na wanahabari wa Global 'hawapo pichani'.…
10 years ago
GPLCHEGE ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Chege Chigunda 'Mtoto wa Kiumeni' akiwa ndani ya studio za Global TV Online na prizenta Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) jana. Mtangazaji wa Kipindi cha Mtu Kati cha Global TV, Pamela Daffa 'Pam D' (kushoto) akiongea na Chege Chigunda wakati wa mahojiano.…
10 years ago
GPLMLELA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Staa wa filamu, Yusuph Mlela akiwa katika pozi. Mlela akijibu moja ya maswali aliyoulizwa na waandishi (hawapo pichani). Mlela akiwa katika pozi baada ya mahojiano.…
11 years ago
GPLMAKAMUA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa Bongo Fleva, Mackpaul Sekimanga 'Makamua' akilonga na Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Erick Evarist akimuweka mtu kati Makamua.…
10 years ago
GPLAY ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Ambwene Yessaya 'AY' akipozi katika studio za Global TV Online kabla ya kuhojiwa. AY akiwa ndani ya studio za Global TV Online na prizenta Pamela Daffa 'Pam D'.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania