UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI UKISHIRIKIANA NA PROIN PROMOTIONS WAZINDUA RASMI MANUNUZI YA FILAMU ZA KITANZANIA ONLINE
Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania online hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mheshimiwa Diodorus Kamala[l] akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wageni waalikwa kutoka mataifa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 May
Proin Promotions na Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji wazindua rasmi ununuzi wa filamu za Kitanzania Online
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jNUN_n75mfI/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s72-c/proin.jpg)
Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s640/proin.jpg)
10 years ago
VijimamboProin Promotions in Belgium - Launching of Tanzania Films Online
10 years ago
Dewji Blog08 May
VIDEO: Proin Promotions in Belgium — Launching of Tanzania Films Online
Mwenyekiti wa Proin Group Tanzania ndugu Johnson Lukaza akizungumza machache na kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania kupitia mtandao (online) hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KgMRUEVv2AY/UybEw4R132I/AAAAAAAAV8s/ARSQJ03nlR4/s72-c/kitendawili.jpg)
10 years ago
VijimamboWajumbe wa bodi ya filamu Watembelea Ofisi za Proin Promotions na kujionea miundombinu iliyowekezwa
11 years ago
GPLPROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE