Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CLOUDS TV INTERNATIONAL YAZINDULIWA RASMI DUBAI

Hongera kwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw Joseph Kusaga ndoto yake imekuwa kweli sasa Clouds TV International kuwa kituo cha kwanza cha Television cha Kiafrika kuonekana nchi zote za Falme za Kiarabu. #TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Clouds Media International yafungua ofisi Jamaica

Clouds media International yenye makao yake makuu Abu Dhabi, imefungua ofisi mpya huko Kingston Jamaica zitakazohudumia ukanda wa Caribbean na kufungua fursa za kibiashara kwa kampuni tanzu za Clouds Media. Ufunguzi wa ofisi mpya nchini Jamaica unakuja ikiwa hata mwaka mmoja haujapita toka Clouds Media International ilipofungua ofisi zake Abu Dhabi. Mkurugenzi mtendajib wa Clouds […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani

581522_489635121134789_1304210883_n

Joseph-Kusaga

Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.

*Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.

Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.

Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media,...

 

9 years ago

GPL

MAONESHO YA SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO 2015 YAZINDULIWA KWA KISHINDO

Mgeni rasmi Dk. Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa maonesho hayo. Maonesho haya ya pili ya Swahili International Tourism Expo 2015 yalipata nafasi ya kutembelewa na Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal akiwa ndiye mgeni rasmi pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania, Dk. Adelhelm Meru. Maonesho haya yatakayochukua takribani siku tatu mpaka tarehe 03-10-2015 kwa mwaka huu, katika...

 

10 years ago

Michuzi

Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha (booking) wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani.


·        Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.
Abu Dhabi – Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.
Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga, uzinduzi wa...

 

11 years ago

GPL

AZAM TV YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv  mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…

 

10 years ago

GPL

MAISHA BASEMENT YAZINDULIWA RASMI

Kutoka kushoto ni Meneja burudani wa New Maisha Basement, Geofrey Gilla, Meneja Mipango, Samwel Kariuki, HK, Meneja wa New Maisha Basement, Allan Ngugi na Ofisa Uhusiano wa New Maisha Basement, Omary Sharifu kwenye mkutano huo. HK akitoa maelekezo juu ya ubora wa klabu hiyo.…

 

9 years ago

Michuzi

DAWASCO SACCOS YAZINDULIWA RASMI

 SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), imezindua rasmi mfuko wa akiba na mikopo (Saccos) kwaajili ya wafanyakazi wa shirika hilo katika harakati za kujikomboa kiuchumi na kuimarisha umoja miongoni mwao.
Akiongea na wafanyakazi katika uzinduzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja amewahimiza wafanyakazi kuitumia Saccos hiyo kujikomboa kiuchumi na kuondokana na utozwaji mkubwa wa riba kutoka kwa baadhi ya taasisi za fedha, hali inayowaumiza...

 

10 years ago

Michuzi

Fly Dubai yazindua rasmi safari zake nchini

Na Reginald Philip
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mhe. Samia Suluhu (Mb.) ameupongeza Uongozi wa Shirika la Flydubai la Dubai kwa kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dubai na Dar es Salaam, Kilimanjaro, Mwanza na Zanzibar kwa gharama nafuu.
Akizindua huduma hiyo kwa niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, jijini Dar es Salaam, Jumatano tarehe 22 Oktoba, 2014, Mhe. Suluhu alimwambia Makamu Mkuu wa Shirika la Flydubai, Bw. Sudhir Sreedharan, kuwa...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAZINDULIWA RASMI LEO

Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd. Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani