Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani

581522_489635121134789_1304210883_n

Joseph-Kusaga

Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga.

*Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.

Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.

Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Clouds Media International yazindua huduma mpya ya kutafuta na kuunganisha (booking) wasanii kwenye shughuli mbalimbali za burudani.


·        Wasanii kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia kunufaika na huduma hii.
Abu Dhabi – Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuzindua huduma mpya ya kutafuta na kuwaunganisha wasanii kwenye nafasi za kutoa burudani kwenye matamasha na matukio mbalimbali.
Kazi hiyo ya kuunganisha na kuwatafutia wasanii nafasi ya kutoa burudani itakuwa chini ya Status Bookings ambayo ni kampuni dada ya Clouds Media Group.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds Media, Joseph Kusaga, uzinduzi wa...

 

10 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

10 years ago

Bongo5

Clouds Media International yafungua ofisi Jamaica

Clouds media International yenye makao yake makuu Abu Dhabi, imefungua ofisi mpya huko Kingston Jamaica zitakazohudumia ukanda wa Caribbean na kufungua fursa za kibiashara kwa kampuni tanzu za Clouds Media. Ufunguzi wa ofisi mpya nchini Jamaica unakuja ikiwa hata mwaka mmoja haujapita toka Clouds Media International ilipofungua ofisi zake Abu Dhabi. Mkurugenzi mtendajib wa Clouds […]

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa kifurushi kimoja tu

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G.  kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Home WiFi,Gaurav Dhingra.Meneja Masoko wa...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HOME WI-FI, HUDUMA YA INTERNET KUUNGANISHA FAMILIA NZIMA KWA KIFURUSHI KIMOJA TU‏

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G....

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya Push Mobile Media yazindua huduma ya kurahisha mawasiliano

Kampuni inayoongoza kwa huduma ya teknolojia ya mawasiliano, Push Mobile Media imezindua huduma ya ujumbe kwa njia ya mtandao wa internet ijulikanyo kwa jina la “Bulk Messaging” kwa lengo la kumwenzesha mtumiaji kufikisha ujumbe mmoja kwa watu wengi na katika muda muafaka.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile Media, Freddie Manento alisema kuwa huduma hiyo itamwezesha mtumiaji kufikisha ujumbe muhimu kwa gharama nafuu ikiwa katika sekta mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

DKT International yazindua kondomu mpya

Shirika la DKT International limezindua rasmi kondomu mpya za Bull na Trust. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais wa DKT ndugu Christopher Purdy alisema nia hasa ya kuleta bidhaa za kondomu nchini ni kusaidia katika jitihada za kukabiliana na uzazi wa mpango na pia magonjwa ya zinaa.
 Uzinduzi huo ulienda sambamba na usomaji wa ripoti ya utafiti wa tabia za kimapenzi kwa wakazi wa Dar es Salaam iliyofanywa na taasisi ya Data Vision International ambayo mojawapo ya matokeo ni ile iliyoonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani