AIRTEL YAZINDUA HOME WI-FI, HUDUMA YA INTERNET KUUNGANISHA FAMILIA NZIMA KWA KIFURUSHI KIMOJA TU
![](http://4.bp.blogspot.com/-8NNnf9J9krI/VIVvwTJmosI/AAAAAAAG17g/MEQERZ-lXj0/s1600/MMGM0494.jpg)
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7SNrSrA_548/VIVvz84sBzI/AAAAAAAG17o/vgOjsKDR04c/s72-c/MMGM0493.jpg)
Airtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa kifurushi kimoja tu
![](http://4.bp.blogspot.com/-7SNrSrA_548/VIVvz84sBzI/AAAAAAAG17o/vgOjsKDR04c/s1600/MMGM0493.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EYQrSbyBQAg/VIVv0t6qh9I/AAAAAAAG17w/WUja1ySUoWU/s1600/MMGM0467%2C.jpg)
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI
Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-azZA5E--RyE/VlYkIeDiOwI/AAAAAAAIIaM/bove7Pc73jY/s72-c/40c8b8d5-8024-4fe4-8b75-13e973062579.jpg)
Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App" Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-PFkGXzvV6ok/VF93IUAlDCI/AAAAAAACuco/epVvEyPYtpM/s1600/PROF.%2BMBARAWA-5.jpg)
AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada...
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha , akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaada wa vitabu Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , Hamad Boay , wakati wa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zRzMMvsiVmc/VgK2Qa-DElI/AAAAAAAAucc/bcwhW3I4Yvo/s72-c/1A%2B%25281%2529.jpg)
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-zRzMMvsiVmc/VgK2Qa-DElI/AAAAAAAAucc/bcwhW3I4Yvo/s640/1A%2B%25281%2529.jpg)
kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja kupiga simu Airtel
kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na
kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300
tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki.
![](http://3.bp.blogspot.com/-8NN4IHGwpTM/VgK2PqS5OyI/AAAAAAAAucY/ODzO5DJVytI/s640/1A%2B%25286%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5RmqRcOXFouMY-jLVePqHIj6p3iVIPoBB1EpXfT8K2A5LCZiGNH7f4mVZ-gUcgSqGoz9ecXj0ZtofvwuRQ4cMsl9H/techno1.jpg?width=650)
AIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA
Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakaowawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo
Kushoto ni Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1A-6.jpg?width=650)
AIRTEL YAZINDUA KIFURUSHI CHA “YATOSHA NYTS” BILA KIKOMO
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kifurushi cha ‘Yatosha Nyts’ itakayomwezesha mteja kupiga simu Airtel kwenda Airtel na kutuma ujumbe mfupi (SMS) bila kikomo pamoja na kupata kifurushi cha internet cha MB 10 kwa kiwango cha shilingi 300 tu. Kushoto ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki. Afisa Uhusiano...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania