Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI‏

Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi


11Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel Money Near Field Communication (NFC) based solution ya  Airtel Money. kadi hii maalum inamuwezesha mteja kufanya malipo kwa haraka kwa kugusisha kwenye kifaa maalum tu mara moja, kisha kuweka nambari ya siri na kufanya malipo mahali popote. kwa sasa huduma hii imeanza...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "TAP TAP"‏

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Airtel Tanzania , Bi. Jane Matinde akionyesha kadi mpya ya malipo inayotumia huduma ya Airtel Money iliyopewa jina la Airtel Money ‘ Tap Tap’ katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kadi hiyo uliofanyika mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Airtel inakuwa kampuni ya kwanza ya simu nchini kuanzisha huduma kama hiyo ambapo mteja anaweza kuitumia kufanyia malipo mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA KADI YA MALIPO YA AIRTEL MONEY "TAP TAP"

AIRTEL Tanzania yazindua kadi ya malipo ya 'Airtel Money Tap Tap' •         Airtel yawa kampuni ya kwanza kutoa huduma ya kufanyamalipo kwa kupitia kadi inayouunganishwa na akaunti ya Airtel Money yamteja Dar es Salaam, Jumatatu 12 Octoba 2015,  Airtel Tanzania leoimezindua  huduma ya kwanza , ya kipekee na kibunifu yenye technologiaya kisasa ijulikanayo kama “Tap Tap”  itakayomuwezesha mtumiaji wahuduma ya Airtel Money kufanya malipo kwa njia rahisi na,salamakupitia kadi hiyo.
Huduma hii...

 

9 years ago

Michuzi

Airtel yazindua 'Airtel Care' programu kwa wateja * huduma ya kwanza na kipekee kutolewa na kampuni ya mawasiliano ya simu nchini, inawawezesha wateja kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imezindua application itakayowawezesha wateja wake kupata huduma zote za Airtel kwa urahisi na kupitia application ijulikanayo kama "Airtel care App"  Application hii mpya ya "Airtel care App" ni moja kati ya huduma nyingi za kibunifu zinazotelewa na Airtel zenye lengo la kuwawezesha wateja wa Airtel kutatua matatizo yao na mahitaji yao kwa urahisi wakati wowote Akizungumza Wakati wa uzinduzi wa "Airtel care App" Meneja Uhusiano wa Airtel, Bw Jackson...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY‏

Meneja Uendesha kitengo cha Airtel Money Asupya Naligingwa akiongea wakati wa uzinduzi wa ofa itakayowawezesha wateja wa Airtel kupata LUKU Bonus kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
· Wateja kupata bonus ya LUKU pale watakaponunua LUKU kupitia huduma ya Airtel money Dar es Salaam, Mei 5th 2014 Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA‏

 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA HOME WI-FI, HUDUMA YA INTERNET KUUNGANISHA FAMILIA NZIMA KWA KIFURUSHI KIMOJA TU‏

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi  huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji INTANETI kufurahia kutumia kifurushi kimoja familia nzima kwa kuwaunganisha na Wi-fi watu 32 ndani ya familia na kuunganisha wanafamilia wengine wanne waliopo mahali popote nchini Tanzania  kufurahia internet ya 3.75G....

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA‏

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha , Fidelis Lumato akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika kijiji cha Nduruma, wilayani Arumeru Mkoani Arusha , akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Airtel, Brighton Majwala akitoa msaada wa vitabu Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Singisi , Hamad Boay , wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani